finnest
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 834
- 1,238
Alidhani dai hapindui kwake. .... Ila kilichomkuta hata madale hawezi kwenda hahahahahaAnge invest kimya kimya na sio kuchamba watu. Mbona angefika mbali tuu yy akaanza kuleta nyodo ninyodoe
Tulimsikiliza tu kwenye speech ya marehemu Ivan "eti I moved on but he didn't " hahahaha cjui anajihisigi nani huyu demu