Mange Kimambi yupo obsessed na Diamond na familia yake kwa ujumla

io fake life ndio inayowavuta mumfollow na ndio inayowatoa povu hapabwahahahahahahah
 
kama hukuona uchafu wa huyo Boss wako aliopost hilo ni kosa lako. Kuna Acc. Ina majungu na fitna kama ya huyo Zari? Wakati anamtukana Hamisa alikuwa anamkosea nino? Uhuni wa Bwana ake anawatukana watu wengine.
Zari mswahili saana basi tu ukingereza wake unambeba .....mama mtu mzima kubishana na vitoto khaaa !!!! Mie hata nilie mzid 3yrs tu siwez bishana naona kama dharau .
 
Mimi mwenyewe yaani. Kijibishana na mtu au watu niliowazidi umri siwezi. Naona kama napata fedheha. Bora ninyamaze nitunze utu uzima wangu.

Hana akili watoto wake wakubwa kweli afu wanaona mama kutwa anachambana insta na kugombaniana bwana
 
Back
Top Bottom