Mange Kimambi yupo obsessed na Diamond na familia yake kwa ujumla

Hadi mnapata kigugumizi kama boss wenu. Sijaomba mie nimewataka muweke ushahidi. Account ya zari haina uchafu wowpte ni yeye na familia yake pale bila kusahau kazi zake hakuna umbea wala ujingajinga
kama hukuona uchafu wa huyo Boss wako aliopost hilo ni kosa lako. Kuna Acc. Ina majungu na fitna kama ya huyo Zari? Wakati anamtukana Hamisa alikuwa anamkosea nino? Uhuni wa Bwana ake anawatukana watu wengine.
 
Kituko cha mwaka,muandishi wa gazeti gani au media gani?mtamuita majina yooote mazuri mazuri ila ukweli ni kwamba yeye ndio mchokozi so lazima alambishwe matapishi yake
Mbona umejikita huko. Sijui kutukana na nini? Mange ni Mwandishi kama walivyo waandishi wengine.Na ana uandishi wake unaomtofautisha na wengine. Usilazimishe wafanane. Huyo Zari na Mange wakae watulie walee watoto. Maana kama ni upuuzi wote wamefanya.
 
Mimi nashangaa hata hilo jina la Boss Lady sijui kwa nini analingangania? Awaachie kina K lyn tu. Maana umri na matendo yake hajielewi. Na anapenda Kiki sijawahi kuona.
Zari aliona kaishiwa kiki ,watu hawamuongelei tena wakat yeye ndo furaha yake akaona aanzishe vagi na mange ......hahahahaha
Inshort atulie tu kulea watoto ,mama watoto 5 cjui anapata wapi mda wa kuanzia maugomvi insta na umri ulee
 
Uwiii tushatoka kwa mange tunahamia kwa chuchunge sidechick with sidekide bado kuja kwa wema eee?Zari bana anawalambishwa wengi vumbi
kama hukuona uchafu wa huyo Boss wako aliopost hilo ni kosa lako. Kuna Acc. Ina majungu na fitna kama ya huyo Zari? Wakati anamtukana Hamisa alikuwa anamkosea nino? Uhuni wa Bwana ake anawatukana watu wengine.
 
Kituko cha mwaka,muandishi wa gazeti gani au media gani?mtamuita majina yooote mazuri mazuri ila ukweli ni kwamba yeye ndio mchokozi so lazima alambishwe matapishi yake
Kweli kuwa Msukule wa huyo Mganda naona unateseka.. Unachoandika hata hueleweki.
 
Hadi mnapata kigugumizi kama boss wenu. Sijaomba mie nimewataka muweke ushahidi. Account ya zari haina uchafu wowpte ni yeye na familia yake pale bila kusahau kazi zake hakuna umbea wala ujingajinga
Anaficha makucha yake. Ujinga anaufanyia huko snapchat
 
Mimi nashangaa hata hilo jina la Boss Lady sijui kwa nini analingangania? Awaachie kina K lyn tu. Maana umri na matendo yake hajielewi. Na anapenda Kiki sijawahi kuona.
Hata mm nilishawahi sema hii bosslady ni klyn tu ......Huyu shosti mwingine anastress tupu,afu bado hajamove on yaan akiona domo yupo na mdada mwingine anaanza choko choko ili watu wampe attention !!!!! Atafute tu kibabu atulie
 
Hahahahaha kumpanikisha numby babe ngumu sana. Nacheza na step namnaifata kama mikia come on misukuleee
Sina muda wa kuwa na Id mbili. Nimeku qoute ww ulichojibu. Umepanick ww muhahahaaaaaaa ndo maana unaongea kwa hasira sana kuita watu majina ambayo na ww uko mule mule hahaaaa
 
Amove on ana ubavu? Nasemaga kila siku... attention yote hiyo ni kujiweka tu kuwa hana habari na Dai. Ila moyo wake hauchoki kuugulia maumivu tena akimuona Dai na Mwanamke.

Back
Top Bottom