Mange Kimambi ndani ya bikini. Safi hiyo

Status
Not open for further replies.
mimi nilichokifanya ni kuielezea picha kama ilivyowasilisha,tumbo kweli hata wewe nadhani unaliona
tumbo gani unaongelea hapa...mdada ni wa ukweeeeeee huyu appeal kwa muumba wake
550251_443742512355644_1279303747_n.jpg
259818_495618597139016_1000138171_n.jpg
 
KIM KARDASH acha majelous
kwanza huyo mange nadhani una beef nae umemleta tu humu ili atukanwe..maana unajua kabisa humu jf malaria haikubaliki
mimi simchukii mange hata but siwezi kumleta humu wacha unafiki!
 
Last edited by a moderator:
1carat=0.2g
24carats=X
X=4.8g.
Then:
1g=65USD
24g=Y.
Y=1560USD.
So, hiyo chain uliovaa kama ni pure gold it cost 1560USD.
Upo juu
 
Tatizo la linda ni utu uzima wake,sasa huwezi kumuweka kwenye ligi moja na hawa watoto kama sintah,mange n.k.hawa ni wadogo hata kwa watu wa rika la marehemu amina chifupa ambae pia kwa linda alikua ni mtoto mdogo tu sasa unamuweka vipi mtu kama sintah au mange katika mizania moja na mkongwe kama linda,ndio mana nikasema linda wenzake ni kina madame rita japo nae ni mdogo kidogo,asha baraka,hadija kopa,rose baby(aliekua mke mdogo wa babake mange,mzee kimambi) na wazee wenzao wengine


Sawa, lakini ukweli ulio wazi ni kwamba Mange is NOT a beautiful girl hata kidogo, nafikiri anadanganywa na wanna bees wenzake kitu ambacho ni kosa kubwa sana kwani mwenzao anachanganikiwa na kujiona ni mzuri kweli kumbe wanampaka mafuta mgongoni na chupa ili awape kitu ama vitu. Kuchanganikiwa si lazima mtu uvue nguo na kutembea uchi hadharani ila pia kufanya vitu kama afanyavyo Mange. Akiwa bored, ataandika makala ama habari ambazo hata yeye mwenyewe hazielewi na wajinga wenzake wanampa support huku wakizidi kummaliza kwa confidence za kijinga. Yote hii ni kutafuta ama kulazimisha kujulikana which shows her lack of self confidence. Wanna bees wote uliowataja hawana mvuto wowote kama Linda. Linda simfahamu zaidi ya kumuona humu kwenye picha lakini mwanamke mzuri anajulikana tu hata avae gunia utamjua. Mange anaweka silicone titties (fake boobs) badala ya kutengeneza tooth picks zake (miguu), mat.ako yake yamekomaa japo nayaona kwa picha lakini yanaonekana tu kama ya red neck fulani, sura ni ya kawaida ila si ya kuvutia, meno anashindana na sungura ama panya. Sasa hapa kuna haja ya kumfananisha na mwanamke kama Linda? Linda si mkongwe kama unavyolazimisha aitwe na I will take her anytime na kuwaacha hao wanna bees uliowataja. Yalisemwa haya; chema chajitembeza tena kwa confidence, kibaya daima kitajiuza na kulazimisha kutizamwe kwa namna na gharama yeyote ile.
 
na wewe usilete vioja vya mchunga ng'ombe,kumtandika bakora ng'ombe alienyuma ya msururu wa ng'ombe anaowaswaga ili kumlazimisha atembee haraka,lakini anasahau kuwa huyu ng'ombe mwendo wake unategemea zaidi mwendo wa ng'ombe walio mbele yake..kukusaidia tu ni kwamba ulitakiwa kupeleka mashambulizi yako haya binafsi kwa aliemleta linda kwenye hii thread,rudi page 2 utamkuta huko na nilimuuliza linda anaingiaje hapa kwenye bikini ya mange,akaishia kusaka picha za linda kwenye mablog na kuja kuzipachika hapa
304696_464388383595371_2124825652_n.jpg


525762_492683714099171_1029993986_n.jpg
 
Khaa!!!! Mange Kimambi alias Kim Kardashian....hovyoooooo!

IMG_5492.jpg

Then we went to Ocean drive for a lil' swim in the ocean.....i dont know why but the beach thing just aint for me....hahahahhahahayani i cant stand the sun on my skin for more than 10mins....yani leo nimeenda just because its not that hot anymore....

IMG_5492.jpg

Then we went to Ocean drive for a lil' swim in the ocean.....i dont know why but the beach thing just aint for me....hahahahhahahayani i cant stand the sun on my skin for more than 10mins....yani leo nimeenda just because its not that hot anymore....
IMG_5493.jpg



Ok Kenzo come change....
IMG_5505.jpg

Nimecheka on instagram someone commented kwamba soon Kenzo will start carrying a gun to protect his hot mom....hahahahhahaha
IMG_5517.jpg

Thats a 3,500 USD 24 karat Gold chain on my waist so staki kugusana gusana na mtu maana tusije shikana mashati bure...hahahahahha
IMG_5527.jpg

Bongolicious vintage swim suit collection coming soon......CEO nishaanza mazoezi....hahahahha

IMG_5529.jpg


IMG_5546.jpg

With the love of my life.....Kenzoki

IMG_1732.jpg
IMG_5579.jpg


Hivi hamjiulizi leo imekuwaje mpaka nimepost my bikini photos?
well kazi ni kazi... Soon Bongolicious will launch a vintage swimsuit collection...sasa itabidi nianze kuzivaa na kupiga picha....

Since i posted these pics on instagram and fb i have been overwhelmed na emails, mnataka kujua how i got the body....STARVATION.........Mie sijui hata gym ipo corner gani, Dolphin on the other hand lives in the gym thats why her body is perfect........
 
Usichezee station hiyo kabisa, na takko lipo la Kiafrica.


521833_492680567432819_1340724213_n.jpg

Kusema ukweli ikija kwenye body muke ya muzungu haifui dafu kwa mamaa ya ATL.

Dosari ndogo ya mamaa ya ATL ni mikono iko flabby. Sina hakika kama ni mhudhuriaji mzuri wa gym. Otherwise she is fwiiiiine!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom