Mange Kimambi ndani ya bikini. Safi hiyo

Status
Not open for further replies.
Naona kibaraka wa Mange Kitambi ameikimbia thread yake, huu ushuzi wao wawe wanaishia huko huko kwenye viblog vyao uchwara.

Hapa umevunja ubishi kulinganisha picha ya Mange na Linda, pia naona hata Mange mwenyewe kajifungia chooni huku akilia kummind Linda na guu lake. Kuna mademu wameumbika jamani na mange is NOT even close, sema tu anajishebedua na kulazimisha watu wamkubali. Yaani demu akivaa kiatu anaoenakana kama vile kiatu kimemvaa yeye kwa ile miguu ya chelewa/toothpick, vitako vimekomaa na vimeingia ndani kama mzungu mkulima (red neck). Kwanza ni kosa kumafananisha Mange na Linda, Linda ni taifa kubwa na kilio karibia ya kila mwanamme (uzuri, mvuto, guu, t.ako, tabasamu), Mange ni wa kuchapa tu (one night stand) na kuacha kwenye mataa kisha unasingizia umefiwa ili uondoke. Mwanamke kama Mange ilibidi aolewe na mzungu kwani wazungu wanapooa wanawake wa kiafrika mara nyingi unakuta huyo mwanamke is a reject kwenye society yetu (sura, shepu, macho, miguu, u-fake mwingi), chunguzeni tu mtaona.
 
Futa mipovu kwanza naona unambwela mbwela tu, ndio mkome kutafuta Free Promo hapa JF wakati huyo shosti wenu ni ushuzi mtupu na wala hana mvuto labda kwa huyo Mzungu wake ambaye kwake 0713 ndio muhimu zaidi.
Shost wa mama yako labda,mimi sina shost.Kama ana mvuto kwa mmewe si ndo inavyotakiwa?pilipili usiyoila yakuwashia nini.mimi wote Linda na Mange nawaona sawa tu
 
Mie nashangaa sana Wabongo utasikia wakisema oooh kuvaa bikini ni mambo ya Western hahahaha huuu ni ushamba uliopitilia i hate to hear this bullshiit,Hivi nyie nani kawaloga kumbukeni hizi nguo zote zilitoka huko huko West so hapa Bongo wakati huo walikuwa hawavai nguo so tungesema kuvaa Bikini ndio utamaduni wetu,watu enzi hizo walikuwa wanavaa majani na wanaficha pale mbele tu na kwa wanawake walikuwa wanafanya hivyo hivyo sema wao waliongeza kufunika vifua vyao so what difference kati ya majani yale na bikini za leo au za zamani hizo walizokuwa wakivaa wazungu hao vipi bora???Acheni mambo ya ajabu ajabu mara utasikia huu si utamaduni wa Kibongo so utamaduni wa kibongo ni kumbukizana ukimwi na rushwa au???
 
Sio kosa lake kuogopa jua, mkorogo hauna nidhamu. Wenzie tuna melanin za kumwaga, kansa hazituoni ng'ooooo!
 
This is stupid,kwani akiwa na milonjo ndo hatembei?hivi mtu ana miguu ngoja siku moja ukatike hiyo miguu yako ndo utajua umuhimu wa chelewa.kWA NINI MNAINANGA MIGUU YA MTU AMBAYE HAKUJIUMBA?

Sa hakujiumba anajiashaua nini, mara oooh hot mam...
 
Mie nashangaa sana Wabongo utasikia wakisema oooh kuvaa bikini ni mambo ya Western hahahaha huuu ni ushamba uliopitilia i hate to hear this bullshiit,Hivi nyie nani kawaloga kumbukeni hizi nguo zote zilitoka huko huko West so hapa Bongo wakati huo walikuwa hawavai nguo so tungesema kuvaa Bikini ndio utamaduni wetu,watu enzi hizo walikuwa wanavaa majani na wanaficha pale mbele tu na kwa wanawake walikuwa wanafanya hivyo hivyo sema wao waliongeza kufunika vifua vyao so what difference kati ya majani yale na bikini za leo au za zamani hizo walizokuwa wakivaa wazungu hao vipi bora???Acheni mambo ya ajabu ajabu mara utasikia huu si utamaduni wa Kibongo so utamaduni wa kibongo ni kumbukizana ukimwi na rushwa au???

Kwa hiyo unakubali kuwa kujisitiri ni utamaduni wetu au sio, ndo maana tuliona bora kufunika na majani kuliko kukaa uchi kabisa ukizingatia pia hatukuweza kutengeneza majani ya kufunika mwili mzima kutokana na uwezo mdogo katika ubunifu.

Baada ya wazungu kutuletea nguo tuliacha kukaa uchi. Ndio maana hata wewe pamoja na kujishaua kwakp hujaleta picha zako za bikini mtandaoni. Na ukumbuke pia kuwa issue hapa sio tu kwamba ni kinyume na maadili ya kitanzania bali ni kiafrika generally.

Kwa kuhitimisha nasema huu ni utamaduni wa kizungu kwa sababu wanaweza kukaa familia nzima ndani ya bikini na hakuna kushangaana, kwenu hamuwezi unless mnaishi mbele... hawa kina mange wanafogi tu.
 
Umeongea ukweli, na kama atakubishia basi ana lake huyooo kwani mwenye akili timamu hawezi kuongea hivi.
 
Mie nashangaa sana Wabongo utasikia wakisema oooh kuvaa bikini ni mambo ya Western hahahaha huuu ni ushamba uliopitilia i hate to hear this bullshiit,Hivi nyie nani kawaloga kumbukeni hizi nguo zote zilitoka huko huko West so hapa Bongo wakati huo walikuwa hawavai nguo so tungesema kuvaa Bikini ndio utamaduni wetu,watu enzi hizo walikuwa wanavaa majani na wanaficha pale mbele tu na kwa wanawake walikuwa wanafanya hivyo hivyo sema wao waliongeza kufunika vifua vyao so what difference kati ya majani yale na bikini za leo au za zamani hizo walizokuwa wakivaa wazungu hao vipi bora???Acheni mambo ya ajabu ajabu mara utasikia huu si utamaduni wa Kibongo so utamaduni wa kibongo ni kumbukizana ukimwi na rushwa au???

Kwa jinsi unavyotokwa na mapovu kwa hasira unaonekana kabisa wewe ni ndugu yake Mange unakuja kumtetea. Kama si ndugu yake mange basi nawe pia una uhusiano na mzungu unatetea ujinga wenu wa kutembea uchi na wakwe zako bila noma, si ndiyo? Kama si kweli, wewe unaweza kuvaa bikini kuweka mtandaoni ili wakwe zako wazione? Utajisikiaje? Usitokwe na povu tu jaribu kufikiri wakati mwingine.
 
Shost wa mama yako labda,mimi sina shost.Kama ana mvuto kwa mmewe si ndo inavyotakiwa?pilipili usiyoila yakuwashia nini.mimi wote Linda na Mange nawaona sawa tu

Futa mimate na mikohozi hiyo...
watu kama nyinyi Alhaj Ndolanga aliwapenda coz mnaropoka kama Bata pwa pwa pwa pwa pwaaa...
 
IMG_5529.jpg

Sijaelewa hii maana yake nini!!!!!!!
 
Kwa jinsi unavyotokwa na mapovu kwa hasira unaonekana kabisa wewe ni ndugu yake Mange unakuja kumtetea. Kama si ndugu yake mange basi nawe pia una uhusiano na mzungu unatetea ujinga wenu wa kutembea uchi na wakwe zako bila noma, si ndiyo? Kama si kweli, wewe unaweza kuvaa bikini kuweka mtandaoni ili wakwe zako wazione? Utajisikiaje? Usitokwe na povu tu jaribu kufikiri wakati mwingine.

Wewe ndio unatokwa na mapovu kwanza kabisa changia hoja au jibu hoja wewe kichwa cha kuku nina wasiwasi watu kama wewe ndio mnatuchagulia viongozi Dhaifu kwa kuwa wavivu wa kufikiria na kukumbuka mambo nimesema hivyo kama mfano kwa kuwa hii issue hapa ilitaka jibu na wewe hujajibu sema tu ndio unapwitapwita kama kibatari kilichoishiwa mafuta.Jibu swali acha kwa uzi wangu sio kukimbila ku quote.
 
Bibie Mboko usivimbe mishipa ya kichwa mtoto wa mtu mbona pressure juu juu kunani? Sasa wewe kwa akili yako unaona kama umechangia hoja ama umeleta upuuzi? Mara ya mwisho umepiga kura TZ ulimchagua nani kama si Kikwete? I know you ila sitaki tu kukutaja na kuropoka ni tabia yako. Toka uko mtoto uko hivyo....you never think right na unapenda sana kujifanya mzungu ama mtu wa majuu wakati uwezo huna.
 
Duuh! maisha kiboko!,wakati Mange yuko pembeni ya maji ya chumvi anavinjari,kuna maelfu ya wanawake wengine wako pembeni ya mfereji wanasubiri zamu za kuchota maji.eeeH MUNGU BABA!!.
 
mashala mtoto wa kimambi.. Sema ndio hivyo feel so sory for u kwani humfikii mke wangu
 
mtoto wa kimambi wafundishe dada zetu nao jinsi y kuishi.. Wawe wanaenda beach wakiwa wamevaa nguo zza beach jamani.. Hawa bwana wamezoea wanaenda beach wamevaa ma ovaroli bana na mitandio bana. Wapi na wapi?
Big up MANGE tOTO LA KIPAREEEEE
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom