MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 922
- 1,094
MANGE NA MZUNGU WAMEJIPAKA NAJSI.
Twende taratibu. Siwatetei I'm just being objective, inawezekana wana Mabaya yao ila kwa hili la bandari liko wazi sana
Mkataba wa kwanza ulisainiwa na maraisa wa Tz na China mwaka 2008 kwamba bandari itajengwa kwa $10bil ndani ya miaka7 sharti Lazima iwe kampuni ya ujenzi itoke China na wataalam wengine kutoka Oman. Mkataba ulikuwa straight forward hapo.
Kwa mkataba huu Ni nani anaweza kuingia mkenge wa kutaka kubid tenda ya ujenzil.