Mange Kimambi: Msema kweli ni mpenzi wa Mungu

Usichanganye mambo. John Mnyika Baba yake ni msukuma wa pale Bugalika Mwanza. Kwani ubini wa mtu unachukuliwa kwa mama au baba?. Tena anatokea ukoo wa ng'wana Mikaeli. Uliza usiandike porojo.
 
We fisadi nyerere yupi unamzungumzia we fisadi kamabarange alikuwa na timu ya wenzake katika kuanzisha chama lakini chadema ni chama cha familia.
Ccm ni ya Nyerere taka usitake, lazima chama kiwe na mwanzilishi wa kueleweka . Tatizo la Nyerere hakuweza kuwaachia watu wa mkoa wake hawakuwa na elimu au ujanja wa kimaisha. Kwanza mkoa wenyewe aliotoka Nyerere ni mapanga mwanzo mwisho.Angewaachia watu wa mkoa wake hii nchi si ingegeuka uwanja wa vita tungepona kweli. Na hata kwa akili ya kawaida mikoa iliyoendelea kielimu na ujanja wa maisha inatambulika ni Kilimanjaro na kagera na mingine michache sana na Nyerere hakutaka watu wenye challenge.Kwanza mwenyewe wakati anatafuta uhuru alikutana uingereza na mtu ambae nae amekwenda kutafuta uhuru wa Kilimanjaro hapo ndipo alipobaki na maswali.
 
Back
Top Bottom