Mange Kimambi: Msema kweli ni mpenzi wa Mungu

Maramla

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
581
642
ImageUploadedByJamiiForums1439437498.482045.jpg
 
Ya Nyerere so ndio aliianzisha Kama Mtei alivyoamzisha CHADEMA
We fisadi nyerere yupi unamzungumzia we fisadi kamabarange alikuwa na timu ya wenzake katika kuanzisha chama lakini chadema ni chama cha familia.
 
TAFAKARI EWE UNAYEJIITA MWANA CHADEMA 👇👇👇
----------------------------------------------
Inasikitisha sana kuona ukabila na undugu kama huu Tz...

1. Mwenyekiti Chadema taifa- Mh Freeman
Mbowe (mchaga,kilimanjaro)

2. Mkurugenzi wa fedha na uwekezaji - Ndugu
Anthony Komu (mchaga,kilimanjaro)

3. Mwenyekiti Bodi ya wadhamini ya chama -
Mh. Philemon Ndesamburo (mchaga,
kilimanjaro)

4. Mkurugenzi wa Rasilimali wa chama- Ndugu
Suzan Lymo (mchag,Kilimanjaro)

5. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri -Ndugu
John Mrema (mchaga, kilimanjaro)

6. Naibu katibu Mkuu wa chama - John
Mnyika ( mpare wa kilimanjaro mwenye maskani yake Dar)

7. Mwenyekiti wa Wanawake Halima Mdee (Mpare wa Kilimanjaro mwenye maskani yake Dar es Salaam)

8. Makamu mwenyekiti wa Wazee Susan Lymo (mchaga wa Kilimanjaro)

9. Walinzi wote wa Mbowe (wachaga wa Kilimanjaro)

10. Asilimia 98 ya madereva wa Chama wachaga wa Kilimanjaro

Asilimia 80 ya wabunge wa kuteuliwa wa Chadema wanatoka Kilimanjaro na
Arusha,wakiongozwa na Mrs wa Mbowe wa pili Joyce
Mukya, Grace Kihwelu, Suzan Lymo, Lucy Ndesamburo Owenya, Cecilia Pareso, Rebecca Mngodo na Rose Kamili.

11:Tundu Lisu MB na dada yake wa kuzaliwa MB
wa kuteuliwa,

12:Dk Wilbroad Slaa katibu mkewe wa ndoa Mb
wa kuteuliwa

13:Mbowe Mwenyekiti Mkewe mdogo Mb wa
Kuteuliwa

16:Ndesamburo Mb mwanawe wa kuzaa MB
kuteuliwa

16:Mtei Mlezi wa chama mkwewe Mbowe
Mwenyekiti wa Chama,
Hii familia inataka iongoze watu zaidi ya milioni
44 haitakuja kutokea katika historia ya Tanzania

Ndio wanafamilia hawahawa waliomtengenezea zengwe la kumfukuza Mh Zitto Kabwe katika chama hiki cha kifamilia baada ya kuona anakubalika ndani ya chama hicho na anauwezo wa kuwa mwenyekiti endapo angechuana na Mbowe lakini si mchaga wala mtu was kaskazini.

Hapo ndipo vikao vya kifamilia vikaanza na kuamua kumtimua Zitto.

Wanafamilia hawa ndio wamemuuzia chama chao Edward Lowassa kwa kiasi cha Billion 10 ili agombee urais kupitia chama hiki! Dr Slaa alipohoji akaambiwa wewe sio mwanafamilia hivyo tulikustili kwa muda tu. Ndipo slaa akagundua kuwa sio chama bali ni SACCOS na kuamua kujiengua.

Mwl Nyerere aliwahi kusema, nanukuu " Mtu anayeonekana anapenda sana kwenda ikulu hafai hata kidogo ni wa kukwepa kama Ukoma".

NDG watanzania huyu Lowassa anavyopenda sana kwenda ikulu tumkwepe. Hizo bilioni 10 alizonunulia chama anataka akazirudishe kwa kutuibia sisi wananchi. ZINDUKA!

Kama amenunua chama akipewa nchi siataiuza kurudisha gharama zake......!!!!?

#SayNo2Fisadi
#FisadiMwikoIkulu
#RestInPeaceFisadi
#NoEntryBigFisadi

JIUNGE NA KAMPENI HIZI KUIOKOA NCHI YETU

JOIN THE MOVE TO RESCUE OUR COUNTRY
 
Ya Nyerere so ndio aliianzisha Kama Mtei alivyoamzisha CHADEMA
nyerere hakuanzisha ccm yeye katoka shamba kaja mjini tayari wazee wa pwani wameshaanzisha chama tayali walimkalibisha tu kwenye TANU then tanu hiyo hiyo ndo ikachange kuwa ccm baada ya kuonganisha vyama viwili vya Tanganyika na Zanzibar
 
Bidada inheaven... I can't believe you guys worked outsoooo beautifully.... Kama utaniYani......lol... I swear in my life don't think I everloved any**** Kamanilivyompenda Al, kumamake Ialmost gave that dude myass...ha?????? Thank God nililewasana that day to do that..maana nngekuwa nalia na Mengi now....Can't believe I even consideredthat... Chief money pembeni kwelimapenzi issue ingine ... Chief palenilikuwa nimefika bei ......Yani hata Frank Enzi zile haikuwa hivi Yani..... Al I loved, deeply......Yani niliumiaaaaaa wewe ..... ThanksGod nimekuwa sana siku hizi I canrefrain from drama za kugombaniawanaume Yani naumia kindaniNdani mwenyewe..... Ila du ingekuwa Enzi zile Nahisiungepigiwa simu Mwam shogakoyupo nyumbani kwa Al njoomchukue,hahahahahahjahahhahahahhaha... .. I ill be ok though, everythinghappens for a reason.....I'm surethere's a reason why I met while wewere both married......lol.... Andthere's a reason why that last daywe Saw each other we has the best sex we ever had..... Like nimefikaMiami tu nkakuta ****, that was thebest sex of my life. Hehehehhe .... Itwas the best for me too..... There's areason maybe so we can havesomething to remember each other by.... Lol.... Ila that dude. I will never speak toagain...... Sio utani. Chief kaniumizamnoooo. Nimemchukiabalaaaaaa..... Sasa sijakupa story za mrWashington remember the richdude from Washington. Chief theguy is ----ing that stupid Stella . Wasmeant to hook up with him for thevery first time hapa bongo , he is here too for holiday ... Yaninimechefukwaaaa nimemtukana nayeye Juzi thanks God I never sleptwith him. Eti ananiambia he waending it... That cjick is my numberone enermy akijua nataka muibia bwanake chief atanitoa kwa blogshe has nothing to lose , hajaolewaMie je ntaweka wapi USO wangu???! Still not in love with my husband .Not one bit... Chief nakaa 2 monthssitiani nae.... Analalamikajeeee!!!!!Namuonea huruma... Yani Nokiwastable financially tu nasepa. Butdon't want it to be coz of another guy coz it will really hurt him Iwanna leave him nikiwa single onfriendly terms. Don't want any of hisstuff coz its not fair on him... Justwant my to be alone and take itfrom there if I meet someone else Poa if not Poa. Mungu keshanipaniamaisha yangu

Kweli JK katuweza, hadi huyu nae ni political commentator!
 
Kwanini alijitoa kugombea unajua watu wakiishi USA wanadhani wana akili sana
 
Ivi kati ya huyo demu na mungu nani mkweli na tumsiklize nani mungu ametuonyesha njia iliyo sahihi
Alafu yeye anakuja kindakindaki kutuambia fyokofyoko
 
Ha ha ha! eti CCM haijulikani ni ya nani? aache kutudanganya. Wenye CCM wanajulikana saaana tu, Ni MAFISADI.
 
Back
Top Bottom