Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Unafosi maisha yangu yafanane na yako ili iweje labda?!
Pambana na hali yako Bro
Hao celeb was marekani nimetolea mfano hapa kwasababu wengi mnawafahamu ningewataja msiowafahamu ingekuwa kesi kabisaa kifupi hatufanani kimaisha pole sana

Mshamba wewe nani ambaye hajaishi Marekani, sija wahi ona mtu wa maana akasema tunaoongelea celebrities, wewe ni mshamba tuu utakua .
 
Hakuna ushamba mbaya kama ule wa kutaka uonekane au ujulikane kwa watu kwamba wewe ni mtu wa aina fulani,ubaya wa huu ushamba ni kwamba hata kama kweli wewe ni mtu wa aina hiyo ila kitendo cha kutaka watu wakujue hivyo inaonesha una ushamba wa kuzaliwa mfano kama Le mutuz mmoja wa watu wenye ushamba wa kuzaliwa, na ni ushamba mbaya sana sawa na ugonjwa usio na tiba.
I 100% AGREE WITH YOU....
 
Kusema ukweli sijui ni marafiki nilionao au hata sielewi lakini hauwezi amini mimi money penny sijawahi KUMFOLLOW Mange Kimambi Instagram wala Facebook wala twitter

Diamond platnumz sijawahi KUMFOLLOW instagram wala Facebook wala twitter zaidi ya kula karanga na kuskiza mziki kwenye gari ya dereva was ofisini kwa mume

Ali Kiba nampenda sana mimi ni team Kiba lakini sijawahi KUMFOLLOW sijui instagram wala Facebook wala twitter sijui Snapchat

Hizo social media zote ninazo na kila. Siku lazima niingie kuperuz ila hawa watu kuwafollow haijawahi kunitokea kabisaa

Wema sijawahi KUMFOLLOW
Lulu sijawahi KUMFOLLOW
Wolverhampton stylish sijawahi KUMFOLLOW
Shihi baby... snura. .. anti ezekiel. ..moze iyobo... Zari... Hamisa...clouds media grup... efm... wasafi crew... sijawahi kuwafollow hate siku 1

Mimi nipo more focused na celebrity was marekani na uingereza hasa blacks kidogo wale wananipa kitu cha kuwafollow

Mimi na marafiki zangu tukikaa hautaskia tunaongelea bongo movie wala platnumz sijui zari sijui hamisa never tunaongelea Janet Jackson... Beyonce. ..JayZ. .. BET CREW... LONDON CREW... maraisi wa dunia... Raisi Wangu Mh. MAGUFULI na crew yake eeh... waandishi akina Daniel Steel na wengine wengi.... wanamziki akina Producer mume wa Alicia Keys... Trace Elis Ross... Diana Ross... Celine Dione... P.Diddy... Mary Mary singers... Dolly Pardon...watu ambao ukiwaangalia leo unajjifunza kitu...watu interesting ndio tunadiscuss sio vinginevyo ... Kwanzaa nikiliamsha kudiscuss Platnumz kila mtu anaaga anaondoka mana mmekosa cha kuongea

Mwenzangu niko na wakati mzuri at the same time naweza sema mgumu. .. Ni sawa kuwafollow raia was Kenya lakini haumfuatilii Msaniii hata mmoja wa Kenya unafuatilia was Tz

Tupo buzy na maisha than chasing celebrities ambao hawaniongezei chochote kwenye maisha yangu

Mange Kimambi namfahamu na nampenda sana Kwanzaa yeye ni March Baby mwenzangu ila walaaa sijawahi mfollow zaidi ya kumsoma wakimuandika jamii forum sio follower wake!

Wabongo wanamuda jamaani. .. tujaribu kudiscuss vitu vya maendeleo zaidi hao mnaowadiscuss mnawaingizia fedha alafu unatoka kapa si bora udiscuss mtu ukamwingizia hela inakusaidia kujifunza kitu ukapata idea ukatengeneza kitu kikakuingizia pesa ambayo haukutegemea na idea unique...

Ni hayo.tu kuhusu mie Money Penny

Wasaniii wote wa tz nawapenda ila sijawahi kuwafollow kiviiile kama watz wenzangu wanavyofollow hawalali
Dada zake Kisandu wameanza kuibuka kwa kasi
 
vyangu unakijua au?
bro hunijui sikujui ila nawafahamu sana hao unaowaita celebs wa bongo!

yani Mheshimiwa Raisi ana kazi sana na watz wake.. ndio maana watu wa JF wenye akili walinitag kwenye forums za akili maana wanajua kubishana na mjinga utaonekanaga mjinga tu!
Hamna we mjinga mjinga tu sema hao wanao kutag nadhani uwezo wa kung'amua mambo ni mdg...huna uwezo mkubwa huo ndo ukweli
 
Honestly hapa duniani mitandao ya kijamii yenye mashiko kwenye akili yangu ni jamii forum, whatsap kwa vile iko personal komtindo na twitter tu hiyo mingine naona ni taka tu kwangu na nnao wa follow wote hasa twitter ni wale master mind na ambao wako verified tu kama real donald trump mzee wa shithole , hahaha
 
Kusema ukweli sijui ni marafiki nilionao au hata sielewi lakini hauwezi amini mimi money penny sijawahi KUMFOLLOW Mange Kimambi Instagram wala Facebook wala twitter

Diamond platnumz sijawahi KUMFOLLOW instagram wala Facebook wala twitter zaidi ya kula karanga na kuskiza mziki kwenye gari ya dereva was ofisini kwa mume

Ali Kiba nampenda sana mimi ni team Kiba lakini sijawahi KUMFOLLOW sijui instagram wala Facebook wala twitter sijui Snapchat

Hizo social media zote ninazo na kila. Siku lazima niingie kuperuz ila hawa watu kuwafollow haijawahi kunitokea kabisaa

Wema sijawahi KUMFOLLOW
Lulu sijawahi KUMFOLLOW
Wolverhampton stylish sijawahi KUMFOLLOW
Shihi baby... snura. .. anti ezekiel. ..moze iyobo... Zari... Hamisa...clouds media grup... efm... wasafi crew... sijawahi kuwafollow hate siku 1

Mimi nipo more focused na celebrity was marekani na uingereza hasa blacks kidogo wale wananipa kitu cha kuwafollow

Mimi na marafiki zangu tukikaa hautaskia tunaongelea bongo movie wala platnumz sijui zari sijui hamisa never tunaongelea Janet Jackson... Beyonce. ..JayZ. .. BET CREW... LONDON CREW... maraisi wa dunia... Raisi Wangu Mh. MAGUFULI na crew yake eeh... waandishi akina Daniel Steel na wengine wengi.... wanamziki akina Producer mume wa Alicia Keys... Trace Elis Ross... Diana Ross... Celine Dione... P.Diddy... Mary Mary singers... Dolly Pardon...watu ambao ukiwaangalia leo unajjifunza kitu...watu interesting ndio tunadiscuss sio vinginevyo ... Kwanzaa nikiliamsha kudiscuss Platnumz kila mtu anaaga anaondoka mana mmekosa cha kuongea

Mwenzangu niko na wakati mzuri at the same time naweza sema mgumu. .. Ni sawa kuwafollow raia was Kenya lakini haumfuatilii Msaniii hata mmoja wa Kenya unafuatilia was Tz

Tupo buzy na maisha than chasing celebrities ambao hawaniongezei chochote kwenye maisha yangu

Mange Kimambi namfahamu na nampenda sana Kwanzaa yeye ni March Baby mwenzangu ila walaaa sijawahi mfollow zaidi ya kumsoma wakimuandika jamii forum sio follower wake!

Wabongo wanamuda jamaani. .. tujaribu kudiscuss vitu vya maendeleo zaidi hao mnaowadiscuss mnawaingizia fedha alafu unatoka kapa si bora udiscuss mtu ukamwingizia hela inakusaidia kujifunza kitu ukapata idea ukatengeneza kitu kikakuingizia pesa ambayo haukutegemea na idea unique...

Ni hayo.tu kuhusu mie Money Penny

Wasaniii wote wa tz nawapenda ila sijawahi kuwafollow kiviiile kama watz wenzangu wanavyofollow hawalali
Sasa mbna Leo umewaongelea huo muda umetoa wapi
 
Ukim discuss jayz,Beyonce,Janeth Jackson wanakuongezea Nini ? Au unajifunza Nini kutoka kwao ?
Ndo hapo sasa......
Huu si ndo wanasemaga uli...mb..keni au....yaani mtu anajisifia kumdiscuss Janeth Jackson....duuh...kweli tunasafari ndefu sana watu weusi wa bara la Africa..
 
Kasome Google Bro unakuwa mbishi umesomaa,!?
Nikusaidie andika 50 cent on making power series profit margin
ah ah so mwenyewe ukishinda google wajua yoote ah ah eti 50 cent making 3 trillion..kuna usemi ukitaka jua upumbavu wa mtu mwache afungue mdomo
Ndo hapo sasa......
Huu si ndo wanasemaga uli...mb..keni au....yaani mtu anajisifia kumdiscuss Janeth Jackson....duuh...kweli tunasafari ndefu sana watu weusi wa bara la Africa..
eh eh bob marley alise "EMANCIPATE YOURSELF FROM MENTAL SLAVELY NO ONE BUT OURSELF CAN FREE OUR MIND" TRUMP akaita hizi tabia "SHITHOLE " Ni ile kuona vyako vya kishenzi na vya nje ndo vya maana wakati hao so called celebrity hata huko kwao bado wanaonekana niggers tu "LOWLIVES" mablack american wenyewe kila siku wanaangaika jifunza tamaduni za africa
 
Mshamba wewe nani ambaye hajaishi Marekani, sija wahi ona mtu wa maana akasema tunaoongelea celebrities, wewe ni mshamba tuu utakua .
labda wewe ndio mshamba

umeishi marekani tu!

wenzio tumetembea nchi 100 za dunia mpaka sasa na bado

so pole kama America ndio nguzo yako ya kukutoa ushamba
 
Hamna we mjinga mjinga tu sema hao wanao kutag nadhani uwezo wa kung'amua mambo ni mdg...huna uwezo mkubwa huo ndo ukweli
Ukipona huo Ugonjwa uje utusimulie nin kimebadilika kwako
like wise

Honestly hapa duniani mitandao ya kijamii yenye mashiko kwenye akili yangu ni jamii forum, whatsap kwa vile iko personal komtindo na twitter tu hiyo mingine naona ni taka tu kwangu na nnao wa follow wote hasa twitter ni wale master mind na ambao wako verified tu kama real donald trump mzee wa shithole , hahaha
thank u for being honest kama mimi nimekupenda bure

Sasa mbna Leo umewaongelea huo muda umetoa wapi
nimeutoa ulipoutoa wewe

ah ah so mwenyewe ukishinda google wajua yoote ah ah eti 50 cent making 3 trillion..kuna usemi ukitaka jua upumbavu wa mtu mwache afungue mdomo

eh eh bob marley alise "EMANCIPATE YOURSELF FROM MENTAL SLAVELY NO ONE BUT OURSELF CAN FREE OUR MIND" TRUMP akaita hizi tabia "SHITHOLE " Ni ile kuona vyako vya kishenzi na vya nje ndo vya maana wakati hao so called celebrity hata huko kwao bado wanaonekana niggers tu "LOWLIVES" mablack american wenyewe kila siku wanaangaika jifunza tamaduni za africa
my dia povu vepe
nenda vogue youtube kaone wamemu interview 50 cent uone anatengeneza bei gan acha kuandika andika tu huna prove!

mambo?
 
wewe kama mimi,the only news nazofatilia ni ishu za kuhusu nchi yangu na viongozi wangu waliopo madarakani na mwisho ni kuwaombea waliongoze Taifa vyema,social media tupa kule ujinga/upupu mtupu umejaa huko.
meona ee

nimekupenda bure

achana na hawa common people ndio maana watz hatuendelei
 
Back
Top Bottom