ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
Habarini,Kwa mda mrefu sana nimekuwa nikujiuliza maswali mengi ambayo nimeshindwa kuwa na Majibu yake!!!,Lakini am sure hapa Jamii Forum nipata majibu sahihi!!
Siwezi kumuweka MANGE KIMAMBI kama ni celebrity kwasababu sijamjua yeye nini kinamfanya awe celebrity ila nitamterm kama mtu anaye utafuta ucelebrity kwa hali na mali kupitia yale anayo yafanya!!! Kwa kile anacho kifanya huwezi dhania na kufikiria kuwa ni Mama Mtu mzima wa Watoto Watatu!!! Lakini huo ndo ukweli!!!
Sina shida na yeye ila mimi najiuliza yeye ana nini na Familia ya Diamond? Ana matatizo gani na Familia ya Diamond??? Na yote haya ukiangalia mzizi wake utagundua kuwa shida sio familia ya Diamond shida ni Diamond! Sasa najiuliza kuna nini nyuma ya Pazia kati ya Mange na Diamond platnumz??
Kabla ya kuleta huu uzi hapa nilijaribu kudodosa dodosa kwa wajuzi wa mambo ndipo wakaniambia tarifa zisizo rasmi kuwa DIAMOND alisha mchomolegea MANGE KIMAMBI kimapenzi,so mange amekuwa ni kama analipiza kisasi baada ya kuona Mafanikio makubwa alinayo sasa Ndugu yetu Diamond! Inasemekana Mange kimambi alipata mshtuko baada ya kuona Diamond taratibu akifanikiwa na amekuwa akifanya kila mbinu za kumtaka kumshusha Diamond na kumgombanisha lakini zimekuwa zikigonga mwamba!
Katika hilo Mange alimkalia Diamond kooni na kumtaka kuachana na Zari kwa kuwa Zari ni mkubwa Kiumri kwake hivyo ni vizuri Diamond akatafuta Dogodogo kitu ambacho kiligonga mwamba lakini Zari alichafuliwa sana!!
Amekuwa akiiponda kazi nyingi za Diamond na kila juhidi anazo zifanya Diamond lakini Diamond akuwa imara na hata hateteleki!!
Nimeona Mara nyingi akimponda Diamond kuwa shoo zake hazijazi watu na kuwa Diamond kachuja amemkalia kooni kwa mambo mengi sana na kufanya mm n wengine tujiulize maswali kuna nini??
Sahizi anamshutumu mke wa Diamond na kuwa ana Watoto wengi na Alidanganya kusema ana Watoto 3 kitu ambacho sijui kama kina ukweli zari akadanganya kwa mtoto wake na mtoto wake asiseme chochote!!!
Siwezi kiweka vyote hapa Ambavyo mange anawakalia kooni familia ya Diamond lakini nahisi huyu ni mtu wa kwanza kuishi Marekani huku akiwa na Uswahili sanaaa
Sipo Kichwani mwa Zari lakini Am sure 100% zari atakuwa anajutia kuwa na uhusiano na Mtu toka Tanzania!!!! Na ambacho atakuwa anajutia sana ni uswahilii walio nao wabongoo!!! Japo ataficha lakini 100% Zari haya yatakuwa mauhusiano yake ya kwanza kuwa anajutia kuweko huko,ukiangalia uswahili wa mama Mkwe na Baadhi ya watanzania kwa ujumla!!! Mama ake Zari ni mfano wa kuigwa!!!
Lakini Swali langu ni je Mange kuna nini na Diamond?