Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiichoma kadi yake ya ccm huku akiongea na mwanae kuhusu mambo ya udikteta Tanzania.
Chizi huyu anatanga na njia anahangaika.
Hivi Lemutuz hajatoa tamko lolote tangu dada yake atumbuliwe....Ashachoma yakwake... Kina LemuTuz Le Mburula watakoma
Hasa wadada.. Anawapa sumu kila siku.. 2020 ifike tuWe unamuona chizi, lakini amini usiamini ana umaarufu na wafuasi wengi kuliko wewe Mzima
Muite chizi ila subiri muitikio wakeChizi huyu anatanga na njia anahangaika.
Alisema dada yake alikosea..Hivi Lemutuz hajatoa tamko lolote tangu dada yake atumbuliwe....
Mwananchi wa Tanzania aishiye ng'amboMkuu Mange ndio nani hapa Tanzania?
Huyu dada me namuonaga chizi kwenye maswala ya kufanya bullying ....bt anapokuwa kisiasa namuaminia na ninamkubali ....Chizi huyu anatanga na njia anahangaika.
Hata kama ana LA kusema hawezi kuinua mdomo, mwenyewe anaamini ipo siku atateuliwa kwa msaada wa Kondakta.Hivi Lemutuz hajatoa tamko lolote tangu dada yake atumbuliwe....