Manesi wa Massana Hospital Mbezi Beach Wanasafisha Vyoo Vya Wagonjwa - Massawe nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manesi wa Massana Hospital Mbezi Beach Wanasafisha Vyoo Vya Wagonjwa - Massawe nini??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 31, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Ndugu wapendwa imenipendeza kuwepo nanyi tena kwa mara nyingine tena....nilikuwa na ndugu yangu mmoja last weeke akaniumiza roho sana yeye ni nurse pale hospital ya MASSANA HOSPITAL...MBEZI BEACH SAMAKI......kuna mama yao mmoja yeye ni matron uwezi amini tangu waajiriwe wamekuwa na kazi ya kusaficha vyoo vya wagonjwa.....tangu waajiriwe....kibaya zaidi ukianza kubisha wanakuandikia taarifa mbaya na kukufukuzisha kazi...pengine sijui utaratibu wa kazi za manurse mandugu....huyu mkuu wao ni PRF na ameambiwa uchafu unaofanyika kule
  pengine ama nilidhani ni moja ya makubaliano ya mkataba wao..la hasha nilimwambia aniletee mkataba wake..niusome nikiwa nausubiri akapiga wamemsimamisha kazi..nikamwambia furahia swala hilo..hujui magonjwa mangapi yamo kule.......
  Lingine linalowatesa ni ukabila..kama kuna ndugu wa huyu prof analisoma hili akamjulishe waache ukabila kazini unakuta wachaga wanalipwa pesa nzuri tu lakini ukikutwa we nsukuma nzaramo ...mmmmhh hatari tupu...kibaya zaidi wanafanyishwa usafi wa ****** bila hata gloves...hivi ni kweli prf umeshindwa kuwaajiri watu wa kufanya usafi mpaka manurse waje kusafisha vyooo kweli.........alikuwa ananiambia afadhali yeye kijana unakuta kuna manurse wenginee watu wazima unakuta wanasafisha vyoooooooooo
  SHAME MASSANA HOSPT..EMBU TUBADILIKE JAMANI...AMA WEKENI BASI KAZI ZENU KWENYE MIKATABA NA SI MTU KUAJIRIWA GAFLA ANAAMBIWA ASAFISHE VYOO VYA HOSPITAL...mmmmmhhh
   
  Last edited by a moderator: Jul 31, 2009
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  ajwa.,,,
  owner ni prf lema..na si massawe...kumradhi prf massawe any incovinience caused is highly regreted by pdidy
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  ajwa.,,,
  owner ni prf lema..na si massawe...kumradhi prf massawe any incovinience caused is highly regreted by pdidy
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  job discription zao zinasemaje?
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  job discription zao zinasemaje?

  Mkuu kwanza hakuna mfanyakazi aliepewa job discription na ndicho nilichtaka kuanza nacho.....,nikaamua kuulizia mkataba sikuona swala la kusafisha choo...mmmhh ikawa kazi...
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  nilijaribu kuongea na matron wao ambae huwa anawaonyesha sehemu za kusafisha akaaongea na mimi kwa muda kabla ya kukata simu..kwa kweli hizi hospt za private kwa ujumla kuna umuhimu mkubwa wa kuzifwatilia...kuna manya nyaso ya ajabu...na ndio maana wenginme wameamua kuwaajiri hawa dada zetu wa redcross wanawalipa 65/80 kwa nini wasile rushwa kwa wagonjwa???
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  manesi wenyewe wamekuwa wengi sana!scrumbling yake ni kubwa sana
   
 8. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kwanini huyo Dada yako asiondoke akatafuta kazi mahali pengine maana ana ujuzi kuzidi kazi anayopangiwa? Kwani lazima afanye hapo Massana?
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  alishaondoka mkuu....hayupo tena tang alipokataa kusaficha mkojo wa mgonjwa mmoja pale hospitalini....akaomba likizo bila malipo kabla ya kuwapelekea barua ya kuresign....nikaona si uungwana watu wakawa wananyanyaswa kimya kimya...
   
 10. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #10
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,847
  Likes Received: 2,423
  Trophy Points: 280
  ...nesi kufagia inategemea na elimu na uzoefu kazini...kuna nurse attendant,nurse auxilliary,nurse midwive,nurse officer ,seniour nurse officer and principal nurse officer...wote hao wanaitwa manesi!!!

  mwazilishi wa kazi hii..florence nightngale..aliijenga kazi hii kwenye misingi ya nidhamu ...na si ajabu ukakuta akiingia principal nurse officer wenzake husimama.....na pia msingi wa kazi hii ni usafi binafsi,usafi wa mgonjwa ,usafi wa vifaa ,usafi wa mazingira...hiyo ni mbali ya jukumu kuu la kumtunza mgonjwa....

  inawezekana kabisa uamuzi wa principal wao kuwaambia hawa manesi wapya wafagie ni mbinu yake ya kuwapima nidhamu....ambayo kuporomoka kwake ndiko chanzo cha manesi wanaotukana na kuwapita wagonjwa waliojinyea kama hawawaoni....,vijana watakaovumilia kipimo chake .....ndio waatakaomfaa!!

  so kama mtoa hoja ni mdogo wake .... asimpe kichwa... amwache apimwe inavopasa kama kweli amechagua wito wa unesi...fikiria kama anaonea kinyaa choo ...je ataweza vipi kumtunza bila kinyaa mgonjwa anayeoza huku akiwa hai???? tofautisheni kabisa kazi inayohitaji nidhamu kama unesi na uhasibu au fani nyingine!!!...mwacheni mama mkuu wa manesi apime vijana wake!!!
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  nurse officer

  mkuu yeye ni nurse officer....anyway labda kuna hosp zinaruhusu manesi kusafisha vyoo psipo makubaliano ya kazi....


  inawezekana kabisa uamuzi wa principal wao kuwaambia hawa manesi wapya wafagie ni mbinu yake ya kuwapima nidhamu....

  NDUGU YANGU NURSE ANA MIAKA 4 NI MPYA????
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #12
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,847
  Likes Received: 2,423
  Trophy Points: 280

  ooh anyway mimi nilifikiri ndio fresher .....ametoka chuoni...lakini kama ameenda pale na uzoefu .....lazima atakuwa huyo principal ana udhaifu wa kuchukia ..watu wenye elimu ..wanaoweza kutishia nafasi yake,kuna mabosi wapo hivyo kwa new comers!!
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  mimi si mdogo wake nilisoma na huyu dada nikiwa 4MSIX....SO naishi nae kama dada na lengo sikuja kumtetea ma dear nina kazi yangu na yeye bahati amepata sehemu...swala halisi je ni haki manesi kusafdisha vyoo?????hilo ndilo swali la msingi....
  KUMBUKA MANENO YAKO HAPO JUU...UWEZI KUNIAJIRI ALAFU KAMA ACCOUNTANT ALAFU UNANIPA MAZOEZI YA KUBEBA MIZIGO YA KAMPUNI YAKO KISA UMEONA NILIPITIA JKT....HAPO ATUPO PAMOJA..
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Asante ndugu yangu PM,
  Nilijaribu kuwa mstaarabu kutokuwa direct kwa mtoa mada.Ulivyosema ndicho kinawezakana kuwa kinafanyika huko Massana.Kazi ya unesi( nurse) - ni huduma na inategemewa uwe tayari kutoa huduma kwa namna mbalimbali na njia moja wapo ya kujua utayari wa mhusika ni kumpitisha maeneo mbalimbali ikiwemo usafi.Na kama ulivyosema wapo manesi wa madaraja mbalimbali.Sasa huyu mtoa mada sijui kama alifanya utafiti kabla hajafikia tamati kuwa dada yake na manesi wengine wanaonewa.Ndipo nikamwambia kama dada anaona yuko juu ya kazi ya kusafisha basi ajaribu kuuza nguvu yake sehemu nyingine badala ya kubakia hapo na huku analalamika.
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Asante ndugu yangu PM,
  Nilijaribu kuwa mstaarabu kutokuwa direct kwa mtoa mada.Ulivyosema ndicho kinawezakana kuwa kinafanyika huko Massana.Kazi ya unesi( nurse) - ni huduma na inategemewa uwe tayari kutoa huduma kwa namna mbalimbali na njia moja wapo ya kujua utayari wa mhusika ni kumpitisha maeneo mbalimbali ikiwemo usafi.Na kama ulivyosema wapo manesi wa madaraja mbalimbali.Sasa huyu mtoa mada sijui kama alifanya utafiti kabla hajafikia tamati kuwa dada yake na manesi wengine wanaonewa.Ndipo nikamwambia kama dada anaona yuko juu ya kazi ya kusafisha basi ajaribu kuuza nguvu yake sehemu nyingine badala ya kubakia hapo na huku analalamika.
  __________________

  Mi ningeuita unafiki ,,,ungemwelekeza moja kwa moja na ndio maana PM katika mada yake aliandika vile akihisi ni nurse mpya...alipojua sio ameanza kuelewa alichoandika Pdidy .....nexty tym usiact ustaarabu kuwa straifght hapa ni kuelekezana......mkuu...offcourse hya mambo ya kusafisha sijasika ila kuna tatizo moja wakuu wa idara wakikukuta una elimu zaidi yao inakuwa hatari kwa maisha yako...anyway
   
 16. M

  Manitoba JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hoja sio kwamba dada yake anatafuta ushauri wa nini cha kufanya. Pengine ingekuwa rahisi kwake kufanya hivyo angekwishafanya. Nani asiyependa green pastures? Au ungemuelekeza pa ku-apply ungekuwa umemsaidia zaidi.

  Ndio, watu wanatakiwa wajifunze kutetea maslahi yao. Lakini kumwambia aondoke na kufumbia macho uonevu ambao pengine unatokea ni sawa na kumuachia mwizi huru kwasababu tu aliyeporwa hakukimbia.

  Sasa akishaondoka, unadhani watakosa mtanzania mwengine mwenye dhiki na asiye na alternative wa kumuonea?

  Sawa kila mtu anatakiwa apigane asionewe, lakini unadhani ni sawa kumkalia kimya muonevu?
   
 17. M

  Manitoba JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii hoja ya wito nadhani huwa tunai-missuse sana. Sijui nini kinamfanya mtu amlazimishe mwingine kwamba kazi yake ni wito. Mtu binafsi ndio anaamua kama anachukulia anachokifanya ni wito au hapana. Sio mtu mwingine kumpangia kama anachokifanya ni wito au hapana. Wito unatoka moyoni sio kwenye taratibu, au kulazimishiwa. Mara nyingi mtu aki-invoke hoja ya wito (kwa walimu, etc) huwa napata picha ya jinsi roho ya huyu mtu anavyoamini kwenye class society, anavyoamini kwamba kuna watu ambao ni wa kutumikishwa tu na watu ambao ni wa kutumikiwa (including yeye). Na ukitaka kujua kama wewe ni mtu wa aina gani, angalia jinsi unavyom-treat housegirl/houseboy wako.

  Dhana kwamba unesi ndio unahitaji nidhamu kuliko kazi nyingine, nadhani ni dhana makengeza. Shughuli zote zinahitaji nidhamu. Tena uhasibu ndio usiongee. Kama unadhani kazi yako haihitaji nidhamu, then nadhani hilo ni tatizo lako binafsi, usijumuishe ulimwengu. Na I hope dhana hiyo potofu hai-affect kazi yako sana.

  Imekuwa kama ni kawaida sasa ukitaka kumnyonya mtu tu, unamwambia kazi yake ni wito. Leo unesi ni wito, kesho kutwa utasikia ualimu, mtondo utasikia uaskari, mtongogoo utasikia udreva.

  Tuachane na hiyo hoja pelea ya wito, na watu wanaodhani wao ni wa kutumikiwa tu, na wengine ni wa kula na kutumikia wengine tu (tena sio muhimu kula vya kutosha).

  Kwa upande mwingine, kama wewe ni kiongozi mzuri na unapenda ufanisi, usingependa umfanyishe mtu kazi asiyotaka kuifanya kwa sababu itaathiri ufanisi. Kama kweli unaamini unesi una-include kuosha vyoo, kwa nini usiieke hiyo wazi wakati unawaajiri ili mtu achague kama anataka kufanya unesi wa kuosha vyoo au la?

  Pia, kama kuosha vyooo ni part ya huo unesi, na nilazima ili nesi akamilishe wito wake (kama nyie mnavyotaka kuiweka), je hospitali ambazo hazina utaratibu huo zinafanya makosa? Lugalo, kwa mfano, na inavyoonekana kuna watu mahsusi wa kufanya usafi vyooni, na wanaonekana wanaifanya kwa kuikubali kabisa wakiwa na vifaa vyote muhimu (viatu, gloves, etc). Je, manesi wa Lugalo si manesi halisi kwa sababu hawakamilishi wito wao kwa kusafisha vyoo?

  Sisemi kwamba manesi wanatakiwa waoshe vyoo au hapana, as long as mtu ana choice, na halazimishwi kufanya asichotaka. Kuutumia umasikini wa mtu na kumlazimisha mtu kufanya kazi asiyotaka ni slavery. ( [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Wage_slavery"]Wage slavery - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame] )

  Kama wewe ni meneja mzuri, na unaamini kwamba unesi ni wito na lazima wafanye kazi vyooni, na unajua kwamba manesi mara nyingi hawapendi, then nadhani unawajibu wa kuiweka hiyo wazi wakati unawaajiri ili upate manesi ambao wanakubaliana na msimamo wako, na hivyo kuongeza ufanisi. Kumuachia mtu aingie halafu ndio um-surprize na shughuli nyingine ambazo hakuzitegemea na unajua hatozipenda, na unajua hawezi kuchagua kuondoka kwa sababu ya dhiki yake na ugumu wa kupata sehemu nyingine, ni kieleleza cha ungozi na kukosa utu.

  Sijui nyie, kama mmeajiriwa, mnafanya shughuli gani. Maana, whatever profession you are in, nirahisi sana kufikiria vishughuli vya ziada vya kuwaongezea ambavyo vitawafanya mlalamike na macho yawatoke.

  Wakifanyiwa wingine, wito. Mkifanyiwa nyie, sio haki. Amakweli mkuki kwa mchungu kwa kwa binadamu nguruwe.

  Na pengine nyie mna privilege ya kuhama mwajiri mkijisikia. Wenzenu wengi hatuna starehe hiyo.
   
 18. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu nime mtumia hii link PRF R .S.Lema soon! atakuja hapa kujibu hizi tuhuma zinazokabili hospitali yake.
   
 19. O

  OkSIR Senior Member

  #19
  Aug 2, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nime mtumia hii link PRF R .S.Lema soon! atakuja hapa kujibu hizi tuhuma zinazokabili hospitali yake.
  __________________
  aisee yaaaaaaaaaaaaani nimeona hi mada inasikitisha lakini sijui waliwkubaliananaje kwenye mkataba...ila kuna hili lingine nimeliona hapa......NSSF.M NI MFANYAKAZI HAPA MWAMBIE NA HILI SWALA LA KUWAAJIRI WATU ANAWAANDIKA NSSF CONTRIBUTION MISHO WA SIKU ANAMFUKUZA ALAFU KWENYE NSSF CONTR ...AMEWEKA DESH...MUULIZE ANATAKA KWENDA CMI ....
   
 20. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama watu wetu wanalalamika hawana mikate, kwa nini wasile keki?

  MKuu WoS, mtu akilalamika anapata shuruba na minyanyaso lukuki kazini huwezi kukimbilia suluhisho la kusema aacha kazi! Hiyo ni kuwa out of touch. Kuna shutuma za mazingira hatari ya kazi, kusafisha $#@& za wagonjwa bila gloves, mishahara inayoendana na kabila, kataka kulalamika hajakaa sawa wamem fire, wewe unamwambia atafute kazi pengine. Kuna haki za mfanyakazi ambazo anajaribu kuzitafuta ndugu yangu.

  Kwanza hujui ugumu wa kupata hizo kazi. Pili, hata akiacha kazi, halafu mazingira ya kazi yakabaki hivyo hivyo ni kwamba miaka ya mbele ndugu yako au mtoto wako WoS na wangu wanaweza kuja kufanya kazi hapo. Tutafute haki za wafanyakazi wa nchi yetu, tusiwe out of touch kwa kuwaambia wasio na mikate wakale keki.
   
Loading...