Maneno yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile, tupia unalokumbuka

Bourgeoisie

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
656
162
Haya ni baadhi ya maneno ya Kiswahili yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile,wewe unakumbuka lipi?

1.Hewa ya ukaa -Carbon dioxide.

2.Joto ficho -Latent heat.

3.Hamirojo -Protein.

4.Mwendokasi mtoroko -Escaping velocity.
 
Haya ni baadhi ya maneno ya Kiswahili yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile,wewe unakumbuka lipi?

1.Hewa ya ukaa -Carbon dioxide.

2.Joto ficho -Latent heat.

3.Hamirojo -Protein.

4.Mwendokasi mtoroko -Escaping velocity.

Hee!? Hivi kumbe hamirojo ndio protini!
 
1.Uchavushaji-Pollinatination

2.Mnururisho-Radiation

3.Yabisi-Solid state of matter

4.Mwendo dhahili-Velocity

5.Kan-Force

6.Wenzo-REVEL

Ebana ee kazi kwelikweli tumetoka mbali!!!!!!!!!!
 
Chanikiwiti
Sepali
Petali
Kikonyo
Kani Mkabala
Mwendo sare
Mwendo dhahiri
Mchepuko
******
 
Natafuta tafsiri ya maneno haya ya kiingereza katika kiswahili.

Quantum
Photon
Symmetry
Infinity
Amplitude
Frequency
Dimension
Plane
Perpendicular
Horizontal
Vertical
Black Hole
Quasar
Galaxy
Cluster
Super-cluster
Multiverse
Big Bang
 
Tindikali-acid
Nyongo-base
"Ukichanganya tindikali na nyongo unapata chumvi na maji"
"the combination of acid and base gives salt and water"
 
Natafuta tafsiri ya maneno haya ya kiingereza katika kiswahili.

Quantum
Photon
Symmetry
Infinity
Amplitude
Frequency
Dimension
Plane
Perpendicular
Horizontal
Vertical
Black Hole
Quasar
Galaxy
Cluster
Super-cluster
Multiverse
Big Bang

Wapelekee wale wazee wa vibaragashia tunaowaona tbc kwenye kipindi cha kiswahili....
 
Wapelekee wale wazee wa vibaragashia tunaowaona tbc kwenye kipindi cha kiswahili....

Wazee wanachoka nao pia inabidi wasaidiwe na vijana, ukitegemea wazee kila siku wakiondoka utafanyaje? Unajuaje kwamba wazee hawajaanza kuumwa Alzheimer's na kujisahulia mambo?

Lugha kama kitu cha jamii nzima, na sio mali ya wazee wale tu, inataka mchango kutoka kwetu sote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom