Maneno yaliyotamkwa na edward sokoine kuhusu mafisadi mwaka 1983 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maneno yaliyotamkwa na edward sokoine kuhusu mafisadi mwaka 1983

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zamlock, Apr 25, 2012.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  "....Viongozi wazembe na wabadilifu waanzekuhesabu siku zao, labda tusiwajue .hawa hatuna sababu ya kuwapa imani kuwa tutawalinda katika vitendo vyao viovu...."
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Lowassa ni mbuzi wa kafara wa JK

  JK kafichwa na kivuli cha LOWASSA sijuikwa nini au mpaka lini LOWASSA atakaa pembeni JK aonekane
   
 3. M

  MNYOO JOGOO Senior Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ipo siku lowasa atafunguka! Tusubiri mengi nyuma ya Pazia
   
 4. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  wakuu anayeongelewa hapa nadhani siyo yule mwenye nywele nyeupe!!ni Edward aliyekuwa safi!!
   
 5. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  pia naye anaitwa Edward!!

  ...sidhani kama ana ukweli wowote aliouficha ila kama upo ni bora aueleza maana maisha haya ni mafupi na hayapimwi mali alizonazo mtu bali aliyoyafanya katika uwepo wake duniani
   
 6. i

  isoko Senior Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hapo tuweke viongozi wazembe lakini kuhusu suala la ubadhulifu tuanze na yeye
   
 7. kevin nathan

  kevin nathan Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acheni kuchangia hoja bila kujua lowasa anahusika vipi kwenye mambo haya labda kasingiziwa, nadhan angekuwa alifanya kweli asingejiuzulu ili alinde maovu aloyafanya ila kwa kuwa alidanganywa kuwa atalindwa endapo akijiuzulu ili watanzania wasilete noma juu ya miradi feki iliyoibuka awamu ya nne,
   
 8. z

  zamlock JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  jamani namzungumzia edward molinge sokoine siyo mzee wa nywele nyeupe kwa hyo ni vyema mkatoa michango wenu ukiwa na uhakika na mtu tunaye mmzungumzia.
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hakunaga zaidi ya Edwrd Lowasa hakunaga zaidi ya yeye hakunaaaagaaa hakunaagaaa atasimama imara CCM kupita 2015!!
   
 10. Mussolin5

  Mussolin5 JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2015
  Joined: Apr 23, 2015
  Messages: 16,917
  Likes Received: 60,370
  Trophy Points: 280


  Daah Natamani Kulia...Viongozi kama hawa Hawazaliwi Tena Tanzania
   
 11. T

  TAU 1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2015
  Joined: Jan 8, 2013
  Messages: 401
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Usimuone JK RAISI WA NCHI HII YUKO KIMYA!SIKU AKIAMUA KUMWAGA MBOGA KWA EL ATAIBIKA ZAIDI YA KILA MTU ANAVYODHANI JK NI KIONGOZI NA MTU MWENYE STAHA,TUSUBIRI TUONE...
   
 12. k

  kanone JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  kukaa kimia sio ujinga na wapiga kelele sio kwamba wana akili ,huo ujumbe umekuja kwa wakati mwafaka
   
 13. TuntemekeSanga

  TuntemekeSanga JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2015
  Joined: Jan 15, 2015
  Messages: 865
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Huwezi ukanyweshwa sumu au ukalishwa #mavi huku unashangaa tu!

  Kama anamaamuzi magumu, kwa nini hakutaka kuanika ukweli huo mnaomtengenezea ati alikuwa "mbuzi wa kafara?"

  #MIZENGO_PINDA (2015) anatosha. Achana na hao ndugu zako
   
 14. Muyobhyo

  Muyobhyo JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2015
  Joined: Oct 9, 2014
  Messages: 6,518
  Likes Received: 4,385
  Trophy Points: 280
  Mie kwa mtazamo wangu naona huyu jamaa watamchinjia baharini, ngoja tusubiri tarehe 7 july
   
Loading...