utaelewa tu cku utakapoamua
he he ataelewa siku akiamua, very right...hawa wavivu kufikiri hawa na kuconnect the dotes
utaelewa tu cku utakapoamua
Put yourself in ZZK shoes. Kama unauhakika kuwa hujachukua pesa alafu mtu anakupakazia uongo mkubwa kama hivi utatumia lugha gani kufikisha ujumbe wako. Mimi hapa sioni tatizo as long as hajachukua hiyo pesa. Maneno ya mheshimiwa mheshimiwa ndo yanatufanya kuwa na nidhamu wa woga.
Katika Gazeti la leo la Majira kuna ujumbe unaodaiwa kuandikwa na Mh. ZZK kwenda kwa Katibu Mkuu wa Nishati na Waziri Mhusika wa Wizara Bw. Maswi na Prof. Muhongo.
Naomba kuunukuu
"Maswi, sijawahi gombana na wewe kwa kuwa nakuheshimu sana, tuhuma ambazo wewe na Waziri wako mnatoa dhidi yangu ni uwongo, uzushi na za kupikwa.
Mwambie Waziri wako na wewe binafsi, sijawahi kushindwa vita ya kulinda credibility yangu, sipendi ujinga hata kidogo, mimi nina uhuru wa kusema ninachoamini, sina bei tupambane tu tuone nani ataumia,"
Hebu tuchambue busara ya kiongozi iko wapi katika maandishi hayo katika mizani za kawaida pasipo ushabiki?.Naamini kama ZZK amepata washauri wake pengine ni SHETANI pasipo shaka.
Chief Mbona huu ujumbe haupo kwenye Majira la leo?
Anaweza kushinda maana yuko backed na mafisadi ambao ni powerful kuliko serikali na ndio walioweka serikali hii madarakani kwa pesa ya ufisadi ndio maana Zitto anajiamini atawashinda akina Maswi na Muhongo!dogo kakosea tena
yeye ni chembe tu... akina maswi wako na serikali... haijawahi tokea an individual kupambana na serikali na kushindwa, hasa mtu mwenyewe akiwa na ego na pia akiwa a lone ranger, no matter how good he/she is
ZZK kuna sehemu kateleza, badala ya kuiangalia, yuko bize kupambana na utelezi na kulaumu mvua
RETREAT IS THE BEST THING FOR NOW
dogo kakosea tena
yeye ni chembe tu... akina maswi wako na serikali... haijawahi tokea an individual kupambana na serikali na kushindwa, hasa mtu mwenyewe akiwa na ego na pia akiwa a lone ranger, no matter how good he/she is
ZZK kuna sehemu kateleza, badala ya kuiangalia, yuko bize kupambana na utelezi na kulaumu mvua
RETREAT IS THE BEST THING FOR NOW
Katika Gazeti la leo la Majira kuna ujumbe unaodaiwa kuandikwa na Mh. ZZK kwenda kwa Katibu Mkuu wa Nishati na Waziri Mhusika wa Wizara Bw. Maswi na Prof. Muhongo.
Naomba kuunukuu
Maswi, sijawahi gombana na wewe kwa kuwa nakuheshimu sana, tuhuma ambazo wewe na Waziri wako mnatoa dhidi yangu ni uwongo, uzushi na za kupikwa.
Mwambie Waziri wako na wewe binafsi, sijawahi kushindwa vita ya kulinda credibility yangu, sipendi ujinga hata kidogo, mimi nina uhuru wa kusema ninachoamini, sina bei tupambane tu tuone nani ataumia,
Hebu tuchambue busara ya kiongozi iko wapi katika maandishi hayo katika mizani za kawaida pasipo ushabiki?.Naamini kama ZZK amepata washauri wake pengine ni SHETANI pasipo shaka.
Kiherehere mbona unatia aibu?maswali gani unauliza jamvi?.kama haupo updated unapotezea na kuchangia mada ulizo conversant nazo.unaonekana wewe siyo Mtz.
Katika Gazeti la leo la Majira kuna ujumbe unaodaiwa kuandikwa na Mh. ZZK kwenda kwa Katibu Mkuu wa Nishati na Waziri Mhusika wa Wizara Bw. Maswi na Prof. Muhongo.
Naomba kuunukuu
Maswi, sijawahi gombana na wewe kwa kuwa nakuheshimu sana, tuhuma ambazo wewe na Waziri wako mnatoa dhidi yangu ni uwongo, uzushi na za kupikwa.
Mwambie Waziri wako na wewe binafsi, sijawahi kushindwa vita ya kulinda credibility yangu, sipendi ujinga hata kidogo, mimi nina uhuru wa kusema ninachoamini, sina bei tupambane tu tuone nani ataumia,
Hebu tuchambue busara ya kiongozi iko wapi katika maandishi hayo katika mizani za kawaida pasipo ushabiki?.Naamini kama ZZK amepata washauri wake pengine ni SHETANI pasipo shaka.
Just for curiosity...
Nadhani bei ya hummer inaweza kuzidi tshs 200m...na mh. Zzk anamiliki mojawapo kati ya hiyo-minyundo michache hapa mjini...cijui amewezaje na kwa vyanzo gani vya mapato...
Nimeuliza tuu ili nijuwe vizuri....maana unamtambua aliyeokoka kwa matendo na unaweza kumtambua mla rushwa kwa mapato makubwa nje ya mshahara halali...
Samahani kama nitakuwa nimemkwaza mtu.

Kwangu mimi ni swali la muhimu, linalohitaji majibu....ila watakuja hapa wasiotaka kuunganisha dot...watakwambia unaingilia maisha binafsi..
Ningependa kujua...ila wacha nami nisubiri......