Maneno ya Ujumbe wa Mh. Zitto kwa Viongozi Maswi na Prof. Muhongo hauna maadili ya Uongozi!

PUMA ni semi-government owned,
ni former BP company... ila to be honest kama maneno ya Zitto ni kweli
basi yamekuwa ni makali kweli, hata hivyo naona ilikuwa ni personal sms
na jamaa wake Maswi - kivyao vyao

Unajua Zitto anajua anachokifanya, anasingizia taratibu zilitakiwa kufuatwa..lkn wenye akili tunajua kuwa taratibu na sheria zingine zimewekwa ili kunufaisha mafisadi.
 
Hii msg inaonyesha ni kwanjisi gani kaiandika akiwa na jazba n kapanic...apunguze kukurupuka na aache kupigana vita asiyoifaham.
 
Katika Gazeti la leo la Majira kuna ujmbe unaodaiwa kuandikwa na Mh.ZZK kwenda kwaKatibu Mkuu wa Nishati na Waziri Mhusika wa Wizara Bw. Maswi na Prof.Muhongo. Naomba kuunukuu " Bw. Maswi alitumiwa na Bw. Zitto, unasomeka hivi; "Maswi, sijawahi gombana na wewe kwa kuwa nakuheshimu sana, tuhuma ambazo wewe na Waziri wako mnatoa dhidi yangu ni uwongo, uzushi na za kupikwa.
Mwambie Waziri wako na wewe binafsi, sijawahi kushindwa vita ya kulinda credibility yangu, sipendi ujinga hata kidogo, mimi nina uhuru wa kusema ninachoamini, sina bei tupambane tu tuone nani ataumia," ujumbe huo unasomeka hivyo".

Hebu tuchambue busara ya kiongozi iko wapi katika maandishi hayo katika mizani za kawaida pasipo ushabiki?.Naamini kama ZZK amepata washauri wake pengine ni SHETANI pasipo shaka.

mbunge wa upinzani anawatishia waziri na ps wa serikali na wenye ushahidi japo hata wa kimazingira juu yake? huyu jamaa atakua na powerful backers nyuma yake wasiokua viongozi wake wa CDM
 
Katika Gazeti la leo la Majira kuna ujmbe unaodaiwa kuandikwa na Mh.ZZK kwenda kwaKatibu Mkuu wa Nishati na Waziri Mhusika wa Wizara Bw. Maswi na Prof.Muhongo. Naomba kuunukuu " Bw. Maswi alitumiwa na Bw. Zitto, unasomeka hivi; “Maswi, sijawahi gombana na wewe kwa kuwa nakuheshimu sana, tuhuma ambazo wewe na Waziri wako mnatoa dhidi yangu ni uwongo, uzushi na za kupikwa.
Mwambie Waziri wako na wewe binafsi, sijawahi kushindwa vita ya kulinda credibility yangu, sipendi ujinga hata kidogo, mimi nina uhuru wa kusema ninachoamini, sina bei tupambane tu tuone nani ataumia,” ujumbe huo unasomeka hivyo".

nenda ofisini kwa nepi mkasaidiane kuchambua
 
Dogo anasumbuliwa na Egoism! Opportunistic but good politician at the moment!
 
Kama ni kweli basi kuna kila dalili kijana hausiki na mgao wa mlungula

am afraid haujaelewa kinachozungumzwa.....angalia kiwango cha Anxiety kilichopo kwenye maneno ya ZZK jibu utalipata...jipe nafasi ya kufikiri kwa kutumia your inner being ...u will understand wht reads between the lines..ofcourse itahitaji some degree of critical thinking
 
mbunge wa upinzani anawatishia waziri na ps wa serikali na wenye ushahidi japo hata wa kimazingira juu yake? huyu jamaa atakua na powerful backers nyuma yake wasiokua viongozi wake wa CDM

cku zote hatia uzungumza yenyewe na kujithibitisha yenyewe kabla ya kuthibishwa.....the battle is likely to be stiff bt only truth shall triumph,,
 
Unatakiwa ujiulize ni aina gani ya mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea kabla ya zitto kutoa maneno hayo.Una uhakika na matamshi ya Maswi ktk mazungumzo yao?Jiulize kama zitto alitoa matamshi hayo bila mazingira ya mawasiliano yao kumlazimisha?Mwandishi alipaswa kutoa kila kitu ktk mawasiliano hayo na si kama alivyofanya.Na hatuna uhakika wa habari hii kama ni ya kweli au ya uzushi.

one pint granted with a reservation of being too defensive a sign tht indicates smthng bigger than tge defence itself...jielimishe kidogo kwa kufuatilia maandiko on how to test criminal minds
 
Unatakiwa ujiulize ni aina gani ya mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea kabla ya zitto kutoa maneno hayo.Una uhakika na matamshi ya Maswi ktk mazungumzo yao?Jiulize kama zitto alitoa matamshi hayo bila mazingira ya mawasiliano yao kumlazimisha?Mwandishi alipaswa kutoa kila kitu ktk mawasiliano hayo na si kama alivyofanya.Na hatuna uhakika wa habari hii kama ni ya kweli au ya uzushi.

one pint granted with a reservation of being too defensive a sign tht indicates smthng bigger than tge defence itself...jielimishe kidogo kwa kufuatilia maandiko on how to test criminal minds waweza kujua mengi kuhusiana na hayo maneno ya ZZK na hata ya kwa kwako mwenyewe
 
naambiwa hapa kuwa zzk yupo close sana na jack zoka, pia aningia ikulu muda wowote anaotaka kuonana na jk hata ccm wenyewe hawapo huru na jk kama alivyo zzk: kwa hiyo hata yanayompata sasa kwa chama chake kutomuamini anajitakia mwenyewe!
ANYWAY; VIPI LEO ALISEMA ANGEITISHA PRESS CONFERENCE SA 5 ASBH VIPI ALIITISHA? kwa mwenye taarifa plz
press conference jtano Dom time not specified....hii ndiyo gharama ya kuwa wakala....fooling sme of the people some of the times bt not all the peoooe all the times..whn times falls due no stone remains unturned......
 
Hivi Maswi na Zitto walisoma kipindi kimoja pale UDSM wakati ule wa migogoro mlimani? Yaani wanajuana tangu utotoni?
 
Katika Gazeti la leo la Majira kuna ujmbe unaodaiwa kuandikwa na Mh.ZZK kwenda kwaKatibu Mkuu wa Nishati na Waziri Mhusika wa Wizara Bw. Maswi na Prof.Muhongo. Naomba kuunukuu " Bw. Maswi alitumiwa na Bw. Zitto, unasomeka hivi; “Maswi, sijawahi gombana na wewe kwa kuwa nakuheshimu sana, tuhuma ambazo wewe na Waziri wako mnatoa dhidi yangu ni uwongo, uzushi na za kupikwa.
Mwambie Waziri wako na wewe binafsi, sijawahi kushindwa vita ya kulinda credibility yangu, sipendi ujinga hata kidogo, mimi nina uhuru wa kusema ninachoamini, sina bei tupambane tu tuone nani ataumia,” ujumbe huo unasomeka hivyo".

Hebu tuchambue busara ya kiongozi iko wapi katika maandishi hayo katika mizani za kawaida pasipo ushabiki?.Naamini kama ZZK amepata washauri wake pengine ni SHETANI pasipo shaka.

Labda kashauriwa na Godbless Lema
 
Mkandara mbona unauliza maswali mepesi,sijui mikamtoe mtoto wangu wa baby class aje akujibu au nimwache aendelee kunywa juice yake taratibu?.Braza tafadhali tumia angalau 1/25 ya brain kutakari.Siye tuliye kuwa na ZZK mlimani tuna mfahamu sana alivyogeugeu.Uchaguzi wa DARUSO 2002/3 alivyotufanyia uhuni kwenye uchaguzi wa Rais wa DARUSO na kutafuta fedha kwa wapambe na kumpigia kampeni demu wake Mary Mugurusi dhidi ya Mr. Kayombo na kama isinge kuwa ni kampeni kali ya BCOM students na Engineers ,ZZK angeweka kimada wake kwenye nafasi ya RAIS DARUSO.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom