Elections 2010 Maneno ya SYNOVATE Yatimia!

Ernie

JF-Expert Member
Aug 3, 2010
217
24
Je, mnaikumbuka hiiiiiiiiiiii?????????

opinion_polls.JPG
 
Ili next time tuwaamini SYNOVATE ivi ya REDET ilikuwa inasemaje?
 
NR: That stands for No Response (ambao hawakujibu), possibly hao ndiyo kura zao zilikwenda kujazia ile 26% ya Slaa na hizo za wengine.
 
Kweli matokeo yamepangwa baada ya kufanya wizi mkubwa.Jaji Lewis Makame ni Samuel Kivuitu wa Tanzania
 
Kura za wizi zinafahamika. Mawasiliano ya Salva Rweyemamu na Synnovate yanathibitisha kuwa ule ulikuwa ni utafiti wa kupanga huku Mhaini Makame na Kiravu wakitumika kuhakikisha Kikwete anashinda kwa kiwango hicho. Aibu mbona aibu!
 
MIMI NAONA WATU HAWAKUTAKA SLAA ASHINDE BECAUSE INGEKUA KWELI WANATAKA KUPATA USHINDI WANGE DO SOMETHING!!! KWA MFANO, PUBLIC DEMONSRATION. MIMI NIKO FOR CHANGE NA SLAA NDIO CHANGE INAYOTAKIWA. LAKINI KUKAA OFISINI KUTYPE TU KWA KWELI ATUKUMSAIDIA KIVILE. JUST SAYING...:frown:
 
Back
Top Bottom