Maneno ya Robert Kiyosaki kwako mjasiriamali wa Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maneno ya Robert Kiyosaki kwako mjasiriamali wa Tanzania!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rich Dad, Dec 30, 2010.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuna maneno haya huwa yanarudia sana ndani ya ubongo wangu!

  Robert Kiyosaki anasema:

  If you want to be successful use competent accontants, best legal advisors and form your own company"

  Na huu ni ukweli competent accountants watakusaidia kwenye mambo ya record management na hivyo kujikuta unalipa tax inayoendana na ukubwa wa biashara yako, na wakati mwingine watakusaidia kukwepa kodi ile inayoruhusiwa kisheria " Tax Avoidance".

  Legal advisors watakusaidia ku-draft binding contracts ambazo zitakuwa in your favour just in case mambo yameharibika, Mafisadi wengi huwa hawafanyi makosa kwenye kipengele hiki! Wanaweka clause za ajabu kama mikataba ya chifu Mangungo enzi hizo.

  Mwisho kabisa uki operate under the company, inakuwezesha kupata dili kubwa kubwa zenye maana. Kwani kampuni ina heshima yake ( Acha hizi kampuni hewa za mfukoni). advantage ingine ya kampuni ni kwamba it can stand on its own inapotokea issues ( but hii ni kwa limited liability companies only).

  Ni hayo tu bandugu!
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,594
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa hiyo nikifuata ushauri wako na nikafanikiwa huoni kuwa nitakuwa fisadi??
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kuna levels of Success ambazo huyu bwana anaziongela kwa mtu kuwa rich mpaka mtu kuwa ultimate wealthy. Kuhusu Kupata Competent Accoutants ni jambo muhimu sana kwani kwenye kila sheria kuna loopholes na its up to you as a business man ku-capitalise.. After all who enjoys paying taxes.

  Kuhusu kuwa na kampuni yako mwenyewe I think pia hapa ukishafikia level fulani. Sababu after all mwisho wa siku unaangalia tax benefits If am not mistaken anashauri sana kuform corporations kwamba ndio zina advantage zaidi kulingana na sheria za kimarekani at this moment in time hatujui kuhusu kesho because sheria hubadilika.
   
 4. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Is that for begginers au already established enterpreneurs usije wachuza wenzaka wakadandia mambo bila ya kufanya research on their bussiness ventures.

  First thing know your market and means to protect your capital or else .............
   
 5. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Waberoya,
  Nafikiri mtoa mada hakumaanisha hilo unalotaka kujustify. Ila mara nyingi wafanya biashara na wawekezaji wanatumia weakness ya sheria kujinufaisha. Na ndicho Robert Kiyosaki anachohubiri( pamoja na loopholes zingine za kibiashara) kwenye vitabu vyake.
   
 6. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mungu akujalie nawe uweze itumia vizuri hiyo falsafa
   
 7. Nxt Millionaire

  Nxt Millionaire JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaaa namkubali sana, nimesoma vitabu vyake kadhaa lakini cha Rich Dad's Cashflow Quadrant ni kiboko kimefungua ufahamu wangu kwa kiwango kikubwa sana, pia waweza kusikiza ushauri wake kuhusu "the perfect business for 21st century" HAPA au jinsi gani ya kuondokana na kitu inayoitwa rat race.
   
 8. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,838
  Likes Received: 2,000
  Trophy Points: 280
  watanzania wengi tunapinga huu ufisadi theoritically tu lakini practically tumo sana
   
 9. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Kwa taarifa nilizonazo stories nyingi za Robert Kiyosaki ni fake sio his own real life experience. Hivyo anauza vitabu vyake sio kuwasaida wasomaji, bali kujitajirisha mwenyewe.
   
 10. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kuna some truth in his stories kuhusu maisha yake; ingawa kuna some addition ili kufanya story na somo lieleweke, Kuna mtu alisema, "If you want to get rich, write a book about getting rich" That is sell people dreams.

  Ila yote hayo it does not make a difference, what matters is if his formulas works na zinafaa. Jamaa ana kampuni yake ambayo inatoa educational programs. So that is his business and he is doing it well.
   
 11. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Hizo formula zinafaa kwake sio kwa wanunuzi wa kitabu chake. Watu walifanya utafiti kuhusu hao baba zake na wakakuta patupu. Walipomuuliza akajibu Is Harry Porter real?
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Principles of getting rich anazoongelea ni za ukweli.... sio kwamba amezigundua yeye, ila amezipackage katika easy reading na kuziuza kwa watu. Vitabu vyake havijawa best sellers kwa bahati mbaya, the guy has done a great job while getting rich at the same time.
   
 13. Mzuvendi

  Mzuvendi JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 446
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  VoR,

  Vitabu vyake ni best seller na ametengeneza fortune. WaMarekani masikini wanapenda short cuts na mazingaumbwe ya kuwa matajiri. Principles za kuwa tajiri zinaeleweka na mtu yoyote mwenye enterprenuarship skills na sio lazima kusoma vitabu chake.

  Vitabu vyake vina-motivate wale wasio na skills za ujasiliamali. Watanzania wengi waliopo Marekani wamesoma wamesoma rich dad & poor lakini hakuna statistical evidence zozote zinazoonyesha wame-gain new skills baada ya kusoma vitabu hivyo. Ninachokiona ni watu kuwa na confidence ya kuzungumza mambo ya biashara kama vile kesho watafanya biashara. Na kesho ikifika wataendelea kulonga.

  Nikikuuliza nionyeshe mtu mmoja unayemfahamu aliyepata utajiri baada ya kusoma vitabu vyake. Jibu litakuwa hakuna.
   
 14. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  You know there is no shortcut of getting rich.... Kanuni in short is Spending less than you earn; Save and Reinvest... kwahiyo eventually uta-multiply your fortunes.... Knowledge alone without acting upon the knowledge is not enough

  Umesema kwamba kitabu kinakupa confidence... (desire na confidence ni recipe ya kufanikiwa) If you do everything rich men do na wewe utakuwa rich. Kuongea tu hakutoshi inabidi action.. Sasa kama hawa watu wanaongea tu je ni kosa la mwandishi????, alafu lazima ujue kwamba hizi sio kanuni za Kiyosaki, yeye alichofanya ni kupackage information into an easy reading book.

  Kujua peke yake jinsi ya kufanya kitu hakutoshi you need action. Wewe kuanzia leo spend less than you earn na reinvest your savings uone kama in long term hautakuwa tajiri. Thats what rich men do.
   
 15. Mzuvendi

  Mzuvendi JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 446
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Yes, the book boosts one's confidence or self-esteem. But that is only temporarily, and once you realize that you need to take risks, and also it takes time, efforts, and resources to become financially free, your enthusiasm will automatically wane.

  Since Mr. Kiyosaki ignores other factors that make people rich, when you read the book you feel that you can do it because it seems so easy. However, it's important to note that listening to Mr. Kiyosaki or reading his books is a business transaction in which there is only one person who really makes the money, Mr. Kiyosaki himself. He's the one selling his products to you and as a business person he understands exactly what his audience wants

  Now supposed Michael Jordan writes a book which helps an average person to become a professional basketball player for at least a day, would you buy it? The answer is probably no. Why? Because you know exactly what are your limitations.

  I am not saying you should not read the book, but the tricks to tell people that they will be rich using this or that are almost as old as the world itself.
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  I dont think Mr. Jordan will write a book of how to become a proffessional basketball player for a day because its impossible, there things which you need Talent and getting rich aint one of them......

  Another point am sure Mr. Kiyosaki has not written about is getting rich quick schemes.... he is telling you this is a long term process which needs right attitude.... also its not like Mr. Kiyosaki inveted this, it has always been there. To get rich you dont need to be a genious, you need right attitude. Its a process thats why many fail because of their attitudes.... and as usual they are looking for someone to blame.
   
 17. Mzuvendi

  Mzuvendi JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 446
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  I beg to differ with. Your assertion that you don't talent to get richer is wrong. Can you explain to me why people with higher IQ have higher income ratio than the rest? Talent is not limited to one's ability to play sport or engage in artistic activities. As a matter of fact talent is the ability to perform one or more acts exceptionally. Therefore, you need talent to be a good leader. You need talent to be a motivational speaker like Kiyosaki and so forth.

  On the other hand, attitude is add-ons but no is not the basics of what you want to achieve.
   
 18. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Talent is natural ability.... hapa inabidi tutofautishe talent na skills.... skills can be learnt talent can be refined lakini its a natural ability. Ofcourse leadership is talent without a doubt.

  Sasa usichanganye getting rich through ones natural ability au being a genious (mfano Bill Gates, e.t.c) hapa naongelea getting rich through ones working smart by saving and reinvesting. Hivi leo ukianza kusave pesa zako, kwenda China kuleta bidhaa bongo kuziuza, kusave zaidi, kufungua duka, kununua viwanja, kujenga nyumba, kupangisha watu, Je unahitaji talent, au its just following simple principles za multiplying your earnings?

  Lakini tatizo linakuja kwenye attitude (watu wanapenda matanuzi) na being lazy watu hawafanyi research wanakurupuka na kuona fulani ana duka na mimi nifungue duka, bila kuangalia market
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Wakuu Mzuvendi na VoiceOfReason: nimependa mtiririko wenu wa majadiliano. Nimejifunza kitu kwa kweli kwenye majadiliano hayo.
  Thanks Guys.....
   
 20. Mzuvendi

  Mzuvendi JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 446
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  VoR,

  Talents and skills are different but interwoven. So it's very difficult to separate one from the other. In addition, the realization of one's talent and the ability to acquire or refine his skills are tied to the environment he lives.

  For example, the investment in general education in Tanzania for 40 years hasn't produced desired effects despite massive injection from the government and donor countries. One might argue that this is because the country has poor facilities and bad teachers. However, when you look closely you will find that the problem is deeper than that. The immediate concerns of many Tanzanians are food, water and shelter. In this sort of environment to expect people to use their education, talent and skills is almost irresponsible.

  In America, if you live on minimum income, it will be very difficult for you to save money. This is because your income is intended to cover your basic needs. As such your formula, spending less than what you earn, doesn't work for low income individuals.

  I believe humans are able to accomplish many things once they overcome their environments, and they don't really need a word from Mr. Koyasoki to do so. Their environment will dictate the pace and what they should do and accomplish. For example, until recently only Indians and Arabs were traders and merchants in Tanzania. This is because they knew where to find what they want to sell. The natives were spectators on their own soil. But this has started to change. Without a word from Mr. Koyasaki, slowly people are overcoming their environment and are starting to trade.
   
Loading...