Elections 2010 Maneno ya nyerere yanamuweka upande gani jk?

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
"Kwa mtu muadirifu kabisaaaa Ikuru ni mzigo" Nyerere.

Kama JK ni mudirifu haoni imefika wakati sasa wa kuutua huo mzigo waupokee wenzake ambao wao wamekuwa wakilalamika majukwaani kwamba huo mzigo umemshinda? Kwanini aendelee kung'ang'ania mzigo ilihali akijuwa Kuna watanzania wengi wanaweza kumsaidia? au ndiyo uzarendo wake kwa Taifa kwamba hata kama mzigo ni mzito kiasi gani atabeba tuu bila kuwasumbua wabebaji wengine?

Binafsi nadhani Jk ni mzarendo sana ndiyo maana hata anathubutu kumtoa mwanaye wa pekee ajiandae kuteseka na mzigo huo hapo baadaye yeye akisha choka,
 
Back
Top Bottom