Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,325
Masele ni mtanzania kama watanzania wengine... ameshika wadhifa ambao Ndungai hata akeshe kamwe hata weza kuushika na aliijengea Tanzania sifa kubwa sana.
Ugomvi wa bunge la PAP na Rais wao ni katika kutetea wanyonge ambao wamenyanyaswa na huyu Rais wa pap
Katika kumwamini Masele bunge likaona ni vema asimamie jambo hili.
Inakuwaje mtanzania anayeaminiwa ndio anapigwa vita na kutolewa maneno ya hovyo kama haya.
Nafasi kama za masele hutafutwa kwa uda na uvumba tena mara nyingine utakuta Rais wa nje anafanya hata ziara nchi zote kumwombea kura mwananchi wake ili nchi ipate uwakilishi.
Ni vyema kama ndungai aka jifunza kuwa mzalendo..
Tuna spika wa ajabu sana.