Maneno ya Nassari baada ya kushinda A-Mashariki

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Aliikubali sana tume ya Taifa ya uchaguzi.

Alimshukuru sana msimamizi


Aliwashukuru sana jeshi la polisi


akasema amejifunza kutohamasisha vurugu badala yake ni kutekeleza ahadi za wananchi.

MadNimekuwa inspired na Kitila Mkumbo kuandika thread hii.
 
Last edited by a moderator:
maneno ya tume ya uchaguzi Zanzibar baada ya Maalim Seif kushinda.


"Uchaguzi haukuwa huru na haki"
 
Ukinukuu jingalao, useme aliye ongea alikuwa ana maanisha nini?
Ngoja nikusaidie, Kitila alikuwa anawakumbusha watanzania kuwa, zinapofanyika chaguzi, Mgombea akishinda, huwa halalamiki, na badala yake anawasifu wote waliohusika kufanikisha uchaguzi ule, ila akishindwa...kila mmoja anampa lawama....
 
Back
Top Bottom