Maneno ya Mwl. Nyerere kuhusu Udikteta ambayo viongozi wa sasa Tanzania wanayakwepa

Dada yako unae nyumbani kwenu.Acha ulalamishi wakati mambo hayakuhusu.
Mi sio mwanasiasa na sina chama dada angu. Ila kwa vile mada inazungumzia udikteta basi nimeona umuhimu wa kukumbushia demokrasia ndan ya vyama ili kuondoa dhana ya udikteta vyamani. Na mtu mmoja asijifanye kuwa yeye ndio mwenye akili, mwenye uwezo wa kuongoza chama peke yake na mjuaji zaidi ya wenzake ambao hawezi kuwaachia chama waongoze nk.
 
Back
Top Bottom