Maneno ya kujitetea nisiyo yapenda kusikia!

nyaggad

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,159
691
Habari wana jf!

Wote tunatambua mahusiano ya mapenzi yana changamoto nyingi lakini kubwa kuliko yote ni la kuchepuka,haya ni baadhi ya maneno nisiyoyapenda mwanamke wangu ayatumie kujitetea pale ninapothibitisha amechepuka na mwanaume mwingine!

1)shetani alinipitia,huwa sipendi sana mwanamke wangu ajitetee kwa neno hili pale anaponikosea hasa kuchepuka kwanza nitamuuliza "nitaaminije kama shetani alikupitia?,nenda kamwite ni muulize?,pili huyo shetani ni ndugu yako au ni Rafiki yako?na kwa nini akupitie?na kwa nini ukubali akupitie ukachepuke?

2)Mimi ni binadamu sijakamilika"not perfect",yani huwa sipendi kabisa neno hili alitumie pale anaponikosea nitamuuliza "una kitu gani ambacho hujakamilika una matatizo ya Akili?na kama kweli hujakamilika umejuaje kama umefanya kosa?


Hayo maneno ya "Defense mechanism"huwa yanatumiwa na watu waongo sana ili kuonekana makosa waliyofanya hawakukusudia kitu ambacho si kweli!,Mimi huwa napenda sana ukweli kwenye mahusiano ya mapenzi na siku zote naamini kila kitu kinatokea kwa sababu hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya,kwa mfano amechepuka,nikimuuliza "kwa nini amechepuka?"napenda anipe sababu zenye uhalisia kama hizi!

1)nilichepuka kwa sababu siku hizi hunipatii pesa ya mahitaji yangu!au

2)nilichepuka kwa sababu siku hizi show zako za 6*6 zimekuwa za kichovu!
3)nilichepuka kwa sababu genye zilipanda nikashindwa kujizuia na wewe ulikuwa mbali!

Akinipa sababu kama hizo,naweza nikamsamehe kwa sababu nitajua ni kiasi gani Mimi nimesababisha mpaka yeye kuchepuka lakini sio visingizio vya "shetani alinipitia na sijakamilika"

Je wewe ni maneno gani ya kujitetea huyapendi kuyasikia endapo mpenzi wako ata kukosea?
 
Mimi akiniambia "900 itapendeza" ananikera sana maana nakuwa sielewi kama ni achepuke na watu 900 au nimpige bao 900..all in all sababu yoyote kwangu ya mwanamke kuchepuka itamtupa nje ya ulingo kwanini asiseme kabla hajachepuka?
 
Mimi akiniambia "900 itapendeza" ananikera sana maana nakuwa sielewi kama ni achepuke na watu 900 au nimpige bao 900..all in all sababu yoyote kwangu ya mwanamke kuchepuka itamtupa nje ya ulingo kwanini asiseme kabla hajachepuka?
Hahah!haya mkuu!
 
Kuna ile ndoa ndivyo ilivyo. Mvumilie tuuu, hata kama tabia haivumiliki
 
iyo ya mimi ni binadamu sijakamilika, mara wwe si haukosei huwa sipendi kabisa.

hata mimi huwa ni mfuasi wa kupenda ukweli huku mimi nikiwa muongo mzuri sana.
 
Wadada ni waongo kiasili so inabidi ukubali hiyo hali... Shetani ni rafiki yao toka Eden. Ndio maana.mpk leo anawapitia!!
 
Akichepuka!
Sihitaji kusikia utetezi wa aina yoyote!!!
Akampe aliyechepuka naye hizo sababu kuwa amechepuka naye sababu anampenda sana hivyo amuoe au waendelee kuchepuka.
Makosa yote nitavumilia
Sio kuchepuka.
No advice No discussion as long as I'm sure 100% with relevant evidence.
 
Kama ni mapenzi ya kusogeza Siku unaweza kusikiliza utetezi ili uendelee kula wakati una njaa.kama ni mke ,au MTU unayetegemea kufanya naye future KA TA maneno mawili tu
KA na TA KATA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom