Maneno ya kiswahili yenye maana zaidi ya moja

Tamko "MPARE" linaingia katika aina mbili za maneno,jina na kitendo. Kwa maana ya kuwa MPARE ni kabila na ni kitendo cha kuamrisha mtu fulani ampambe mwingine. Katika nafsi ya kwanza na ya pili.
Basi maana nyingine ya MPARE ni funnel (kile kifaa kinachotumika kuweka kimiminika kwenye chombo chenye mdomo mdogo)
 
Kuna hili neno " kaa vizuri"

Kwa mchana ukimwambia mdada kaa vizuri atabana miguu

Kwa usiku anatanua miguu

😆😆😆😆😆
 
Nani anaelewa maana nyingine ya neno MPARE?
Mpare ni amri ya neno para.

Mfano

Mpare samaki.

Mssna yake mtoe magamba.

Upare muhogo

Yaani ukwangue.

Paka amempara mtu

Yaani paka kamkwangua mtu kwa makucha yake.

Haya ninayafahamu kwa mujibu wa eehemu niliyokulia pengine yasiwe kiswahili cha kwenye kamusi
 
Habari wana JF

Ukiachilia maneno kama 'kaa' na 'paa' ambayo Yana maana zaidi ya moja. Je, ni maneno gani mengine?
barabara....
aidha barabara ya magari...
ama barabara kukazia jambo...
ie hiki chakula ni kitamu barabara
 
Back
Top Bottom