Maneno ya Kiswahili yaliyotoholewa kutoka lugha mbalimbali

Baadhi ya maneno ulioainisha ni Kiarabu na si Kihindi kama ulivyoelezea.
... kihindi na kiarabu haviachani sana kwa baadhi ya maneno hadi matamshi. Uhindini (eneo lote la Western Everest hadi Eastern Iran; Afghanistan hadi Sri-Lanka) wamekuwa na muingiliano mkubwa sana kwa maelfu ya miaka na Bara Arabia kupitia Uajemi (Iran). That's why Arabic, Farsi, Hindi, Urdu, etc. zinafanana sana kimatamshi.
 
Kutohoa ni kitendo cha kuchukua baadhi ya maneno kutoka lugha za kigeni{lugha jirani}na kuongeza maneno hayo katika lugha kusika.

Matumizi ya meneno hayo yanaweza yakafanana kati ya kimaandishi au kimatamshi au vyote kwa pamoja.

Wabobezi wa lugha wanadai kiswahili hakijitoshelezi kwa kuwa imeiga maneno mengi kutoka lugha za kigeni.

Mfano; Kiingereza, Office_Ofisi, Kiswahili.
Tukisema hakijitoshelezi , Hata kingereza pia hakijitoshelezi, Wamekopa maneno mengi mno ya lugha za Kilatini na Kigiriki/ Kiyunani.
Lugha Ili iwe, misamiati inaundwa, au kukopwa / kuazimwa kutoka lugha nyengine.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom