Kipepsi! Natamani sana kujua chanzo cha neno kipepsiKiwiko
Skuna halikuwa neno kamili la kiswahili. Schooner ni glasi ya kuwekea vinywaji (hasa bia) ambayo ni pana kwa juu halafu kueleka kwenye kitako inakuwa nyembamba. Neno skuna lilikuwa linatumiwa katika kiswahili kwa viatu ambavyo visigino vyake vilikuwa na maumbo yanayofanana na glasi hizoSkuna
Pishi... Kipimo cha ujazo
Kibaba... Kipimo cha ujazo
Mfano...
Niuzie mchele pishi moja na vibaba viwili
Kwa kiingerez 'utils'.uroda
MKUYENGE