Maneno ya joseph goebbels msaidizi wa adolf hitler kuhusu mwanasiasa.

majany

JF-Expert Member
Sep 30, 2008
1,223
579
Huyu msaidizi wa Adolf Hitler aliwahi kuandika kwamba,ili uwe mwanasiasa ni lazima ujue kudanganya au uwe mwongo.Alidai kwamba ni lazima wananchi wadanganywe kwa sababu,kwa KAWAIDA WANANCHI HUWA HAWAFIKIRII ZAIDI YA KILE WANACHOAMBIWA.

Akaendelea "siri ya kudanganya ni kwamba lazima ukidanganya leo,na kesho uendelee katika hali ile ile.Na kauli ya kudanganya unayoitoa leo kwa wananchi,hakikisha unaitoa kila unapopata wasaa hadi hapo itakapoingia vichwani mwa wananchi wako"...

HIVI KUNA UKWELI KATIKA HILI???AU ILIKUA THEORY TUPU???
 
Back
Top Bottom