BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,033
- 3,944
...Wengi Mkuu. Mtuvumilie tu!Kumbe kuna wana jamii forum Kiingereza hakipandi
...Wengi Mkuu. Mtuvumilie tu!Kumbe kuna wana jamii forum Kiingereza hakipandi
Habari wana JamiiForums.
Natumai muwazima wa afya tele.
Ndugu zangu bila kumumunya maneno kuna watu jamani wamejaliwa kuzungumza maneno ya busara hapa duniani.
Ukimsikiliza huyu bwana Obama unatamani uendelee kumsikiliza. Amezungumza maneno fulani yaliyo mtoa Joe Baden machozi.
Kwakweli Obama amebarikiwa kwa kuzungumza maneno ya hekima. I hope kusikia Joe Baden akizungumza kama Obama.
hao ndo hutaelewa kabisa mkuu...by now mi naona english inayoeleweka ni ya watu kutoka America,Canada,SouthAfrica.Ili nielewe kiingereza niskilize nani sasa au wale wa english from england ?