Maneno ya busara ya Obama yamtoa machozi Joe Biden

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Habari wana JamiiForums.

Natumai muwazima wa afya tele.

Ndugu zangu bila kumumunya maneno kuna watu jamani wamejaliwa kuzungumza maneno ya busara hapa duniani.

Ukimsikiliza huyu bwana Obama unatamani uendelee kumsikiliza. Amezungumza maneno fulani yaliyo mtoa Joe Baden machozi.



Kwakweli Obama amebarikiwa kwa kuzungumza maneno ya hekima. I hope kusikia Joe Baden akizungumza kama Obama.
 
Obama anafanya kazi kwa Sasa? Maana ameachia madaraka akiwa umri unamruhusu kuendelea.
 
sasa umeleta clip ya Obama haongei kiswahili wewe ukatuwekea Kiingereza
malizi kutafsiri huenda anaelezea msiba? km Lugha ya Jukwaa mmeanza kiingereza elezea vivyo hivyo
 
Obama anafanya kazi kwa Sasa? Maana ameachia madaraka akiwa umri unamruhusu kuendelea.
Nyie ndio mnasumbua nchi hii. Suala sio umri bali ni Katiba ya Marekani haimruhusu kuendelea zaidi ya vipindi viwili. Utaongeaje point kama hiyo?
 
Dah katika watu wanaoongea kiingereza rahisi tena slow kabisa ni Obama

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu kwa mimi hapana aisee.

Mzee obama kama kameza yai aisee.

Ishu sio kiingereza rahisi au kigumu,ishu ni pale biden anapotamka bai

Ishu ni pale mzee obama anapokuwa anatamka maneno kinyume na tulivyozowea sisi senti kayumba
 
Back
Top Bottom