Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Baba wa taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa uhai wake alionya kuwa katiba ya nchi hii inampa madaraka makubwa sana rais hivyo akipatikana rais dikteta ataitumia. Na akaonya kuwa hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamua nini? Sasa naona yametimia mifano ni mingi wewe umetekeleza jimbo, wewe unasimamishwa uwakili, wewe unatekwa, wewe unapotezwa n.k.