Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,276
Maneno ya Baba Askofu Augustine Shao, mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar.
__
"Demokrasia ni kutofautiana kimawazo, kama nchi inafuata mfumo wa demokrasia basi imekubali watu wake kutofautiana mawazo. Demokrasia ni kama mpira wa miguu kila timu lazima icheze kwa bidii ili ishinde. Umewahi kuona wapi wachezaji wa timu moja wamefungwa miguu uwanjani huku wenzao wakicheza? Ushindani wenye tija ni lazima uwe ushindani wa haki"
____
Askofu Augustine Shao,
Jimbo Katoliki - Zanzibar.