Maneno Wanayoyaongea kwa siri sana, bora mwenye Mvi

Kwa nini?
Jinsi jamaa anavyoyatumbua majipu.

Bila kujali hata kama yameota sehemu mbaya kama kichwani ambayo ndiyo yale ya makada wenzie wakubwa wa Chama Cha Majipu!

Hakika makada wa Chama Cha Magamba wameanza kujuta vikali na wameanza kujisemea kimoyomoyo kuwa bora tungemwingiza madarakani mzee wa mamvi, angalau yeye angetuhurumia makada 'wenzie' wa Chama.............
 
Jinsi jamaa anavyoyatumbua majipu.

Bila kujali hata kama yameota sehemu mbaya kama kichwani ambayo ndiyo yale ya makada wenzie wakubwa wa Chama Cha Majipu!
Tumesha ambiwa kuwa UDA imenunuliwa na familia ya kina Ritz, kwanini serikali ya JPM kupitia kwa Laurence Mafuru inawasafisha?
Idd Simba afunguliwe upya mashitaka na kina Masaburi
 
Sio la kina Sioi tu Dadangu, hata kesi ya Abdallah Zombe imerud upya. Kama ulimsikia mkuu wa nchi juzi ijumaa ktk mkutano wake na wanausalama mbalimbali mjini Dodoma utakua umepata jibu.
Jalada la kina Sioi limepelekwa High Court naona kuna order kutoka jumba jeupe washughulikiwe kikamikifu
 
Naiona kama hiyo siri unajisemea ndani ya nafsi yako vile,pole sana kama mchongoma wa msimu huu umekuchoma
 
Sio la kina Sioi tu Dadangu, hata kesi ya Abdallah Zombe imerud upya. Kama ulimsikia mkuu wa nchi juzi ijumaa ktk mkutano wake na wanausalama mbalimbali mjini Dodoma utakua umepata jibu.
Unakumbuka kauli aliyoiingea Zombe wakati hiyo kesi yake inaiisha mahakama kuu dar.? Sasa sijui atanena nini tena.?
 
......Hawawezi kusema hadharani, wanajikaza kiume, lakini wakikutana wenyewe kwa wenyewe kwa siri sana wanaambiana kwa kunong'onezana 'Ni bora tungesuluhishana na yule mwenye Mvi akakilia hiko kiti kuliko huyu'.......It's too late
Sisi tunatamka hadharani kwamba anayemtaka amfuate akachunge naye ng'ombe
 
Sasa ndio wanaisoma namba kikamilifu.......
Mi najiimbia kawimbo ka Lady Madonna, Dont cry for me Argentina
ungejua how the Argentines hate that song and Madonna. They said who the hell is she for Argentina to cry for her?

I heard this from an Argentine
 
Back
Top Bottom