Maneno na Maamuzi ya mwendokasi (Nchi hii ni ya ajabu)

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Maamuzi ya Mwendokasi: Unamteua Ofisa Utumishi wa Wilaya (DAS) na Kumpangia Kituo...fresh from any utumishi, Halafu Unamuomba Akuletee CV yake. Umuangalie Kama Anafaa? Mbona umeshamteua?Uteuzi unaanza halafu CV inafuatia. Nikisema tunafanya maigizo nitakuwa nakosea!?
(Kwa hisani ya SeriaMtoto WikiLiks Tumainiel.)
Tukiwaeleza hata haya, mnasema tunawakosoa. Kama kukosoa ni huku basi kuendelee milele mpaka mjifunze
Mtatiro J.
 
Back
Top Bottom