Maneno Mbofu Mbofu kutoka kwa viongozi wetu

Tusubiri ripoti ya MJJK tuone akisulubishwa kama mwenzake sasa. Ni ile ukiona mwenzako ananyolewa nywele, anza kuweka za kwako maji.

hii ni mwisho. Huu ndo utawala wa sheria Pinda style.

hii ilitolewa kwenye context gani mh? Maana ki-upesi upesi inatisha!!

Yeah, hiyo ilitokea Bungeni, siku Mama Migiro alipotembelea Bunge
 
"Wananchi wa Mbagala mzoee milipuko ya mabomu kama wenzenu wa Kitunda walivyozoea kelele za ndege....." Mh Lukuvi
 
Hii ilitokea wakati ndugu zake zito kabwe na william ngeleja wamekwama kwenye steshini ya dar wakisubiria usafiri wa treni kwa muda wa siku kadhaa. "...tell them to go to hell" Joni cygimwiyisi Samwel Malecela
 
Back
Top Bottom