Maneno mazito ya Freeman Mbowe msibani kwa Aminirabi Swai

Jun 4, 2019
14
23
Baba Askofu wetu wa Dayosisi ya Kaskazini na Mkuu wa Kanisa KKKT Dr. Frederick Shoo, Wapendwa Mke, Watoto na familia yote ya Mkuu wetu wa Jimbo Kuu la Hai na Mchungaji Aminirabi SWAI, Wachungaji, watumishi, Wakristo wote wa Dayosisi ya Kaskazini na kote pengine; Wananchi wote wa Wilaya ya Hai; Praise the Lord!!

Baba Mola wetu,

Ni vigumu mno kukubali na kubaki kwenye mstari wa imani taarifa za kutwaliwa kwa Mchungaji, rafiki na mlezi wetu Aminirabi SWAI!

Mola wetu, maisha yetu ni mapenzi yako! Yangekuwa mamlaka yetu, tungekuomba ubadilishe maamuzi yako, kwani kwa mtazamo wa kibinaadam umemtwaa mtu Mwema sana miongoni mwetu, mpole, mpatanishi, mvumilivu, mnyenyekevu na mwenye kila aina ya sifa iliyo bora na chanya!!

Tunakushukuru kwa zawadi ya maisha yake! Hakika, utumishi wake umekuwa baraka kwetu tulio wengi! Atabaki kuwa kielelezo cha mtumishi mwema aliyelinda kondoo zako kwa mapenzi yasiyo kifani!!

Baba, pale alipokukosea kwa udhaifu wa ubinadamu wake, tunamuombea msamaha, na ukaweke upatanishi kwa wote waliokwazika, kama wapo, kwa matendo yake hapa duniani!!

Baba, kaisimamie familia yake iweze kusimama bila yeye, utupe na wengine nguvu na imani ya kuyakubali maamuzi na mapenzi yako! Amen!!

Mchungaji Aminirabi SWAI, nenda Rafiki, Mwalimu na Nguzo yangu!

Ulinifariji na kuniimarisha sana kiimani kadri ninavyopita kwenye majaribu! Ulinifundisha kuendelea kusimama kwenye kweli na haki, kuvumilia, kutoogopa, kutokata tamaa na zaidi kutolipiza kisasi kwa yeyote!

Uliikimbilia familia yangu kila tulipolia na hata tulipofurahi kwa huduma mbalimbali za kiroho na hata za kibinaadam!!

Hukuchoka kuniimarisha!! Ni wiki hii hii ulinipelekea wito tuonane... haikuwezekana!! Daah, pengine ulitaka kuniaga!

Wasalimie waliotutangulia! Tuna imani wako wengi utaungana nao huko kwenye Makao ya milele waliokuwa baraka na faraja sana kwa Jamii yetu ya Hai wakati wa uhai wao na hata baada!!

Msalimie sana Mchungaji Looka Mushi na Uncle Reginald Mengi! Umewafuata mapema nasi mtuombee kwa Baba mtakayeketi kwenye ufalme wake aruhusu Roho wake mtakatifu atuongoze na kutusimamia ili muda wetu mfupi tuliobakiza hapa duniani ukatupe kibali cha kumpendeza na hatimaye kupata nafasi kwenye mji huo udumuo!

Hakika sikupata muda wa kukulipa kwa mengi mema uliyonitendea as you have gone too soon!!

Tulikupenda hakika! Kwa unyenyekevu tutakulilia na tunaiombea roho yako Amani na Pumziko la milele!

Freeman Aikaeli Mbowe
Mkt Chadema T, KUB & MP Hai
 
Alikukumbusha kuacha kuangamiza kizazi cha watoto wa wenzako kwa kuwauzia ngada pale Billicanas ?, au alipotezea tu ?
Mpaka pale serikali ilipovunja hilo danguro ?
Maneno matamu yamejaa unafiki mtupu,siku ya mwisho tutashangaa sana
 
Utapata nafasi ya kuona? Au unajifaliji tu kama upepo uvumao!!
 
Risala safi ya kiungwana na unyenyekevu mkubwa toka kwa kiongozi wa watu. Mbowe hakika ni mfano safi sana wa kuigwa.
Najaribu kujiuliza kama kweli busara hii iliyoandikwa kwa mkono wake jee kiongozi wetu wa juu zaidi angeiweza? Hapana, maana pengine lingeshuka neno LA kikatili kama "nilipoomba kura kwani nilisema nitazuia vifo?"
Aah, kama wahenga wasemavyo mtoto akinyea mkono huukati bali unauosha. Sasa nasi tunasema tuliye chagua/kusukumiziwa akitukosea tuna samehe hadi mwakani 2020 tunapo mpumzisha ili tusimsukumizie tena cheo hicho. Na yeye amuombe sana Mungu wake kuwa hatuta msukumizia tena afurahi kwa hilo akapumzike Kijijini kwake ambako nako siku hizi kuna Tausi na uwanja mkubwa wa ndege pia traffic lights.
 
Awe anakwenda na kwenye misiba ya kanda ya ziwa. Huyu DJ nilishawaambia ndio huwa anawatibulia deal ya kuingia ikulu mnanibishia. Shauri zenu bwana
Unafahamu uhusiano kati ya mbowe na mchungaji?
 
Alikukumbusha kuacha kuangamiza kizazi cha watoto wa wenzako kwa kuwauzia ngada pale Billicanas ?, au alipotezea tu ?
Mpaka pale serikali ilipovunja hilo danguro ?
Maneno matamu yamejaa unafiki mtupu,siku ya mwisho tutashangaa sana
Kuna wanafiki kama nyie?
 
Vipi kamanda Askofu Shoo yeye alisema nini? Maana Kamanda Askofu siku hizi ametulia kama vile na yeye amenunuliwa na CCM. Naamini ni miongoni mwa ma Askofu wanao ongoza kwa unafiki , ubaguzi na roho mbaya.
 
Kuna wanafiki, wenye roho mbaya, wabaguzi, na mabaradhuli kama nyie?
 
Baba Askofu wetu wa Dayosisi ya Kaskazini na Mkuu wa Kanisa KKKT Dr. Frederick Shoo, Wapendwa Mke, Watoto na familia yote ya Mkuu wetu wa Jimbo Kuu la Hai na Mchungaji Aminirabi SWAI, Wachungaji, watumishi, Wakristo wote wa Dayosisi ya Kaskazini na kote pengine; Wananchi wote wa Wilaya ya Hai; Praise the Lord!!

Baba Mola wetu,

Ni vigumu mno kukubali na kubaki kwenye mstari wa imani taarifa za kutwaliwa kwa Mchungaji, rafiki na mlezi wetu Aminirabi SWAI!

Mola wetu, maisha yetu ni mapenzi yako! Yangekuwa mamlaka yetu, tungekuomba ubadilishe maamuzi yako, kwani kwa mtazamo wa kibinaadam umemtwaa mtu Mwema sana miongoni mwetu, mpole, mpatanishi, mvumilivu, mnyenyekevu na mwenye kila aina ya sifa iliyo bora na chanya!!

Tunakushukuru kwa zawadi ya maisha yake! Hakika, utumishi wake umekuwa baraka kwetu tulio wengi! Atabaki kuwa kielelezo cha mtumishi mwema aliyelinda kondoo zako kwa mapenzi yasiyo kifani!!

Baba, pale alipokukosea kwa udhaifu wa ubinadamu wake, tunamuombea msamaha, na ukaweke upatanishi kwa wote waliokwazika, kama wapo, kwa matendo yake hapa duniani!!

Baba, kaisimamie familia yake iweze kusimama bila yeye, utupe na wengine nguvu na imani ya kuyakubali maamuzi na mapenzi yako! Amen!!

Mchungaji Aminirabi SWAI, nenda Rafiki, Mwalimu na Nguzo yangu!

Ulinifariji na kuniimarisha sana kiimani kadri ninavyopita kwenye majaribu! Ulinifundisha kuendelea kusimama kwenye kweli na haki, kuvumilia, kutoogopa, kutokata tamaa na zaidi kutolipiza kisasi kwa yeyote!

Uliikimbilia familia yangu kila tulipolia na hata tulipofurahi kwa huduma mbalimbali za kiroho na hata za kibinaadam!!

Hukuchoka kuniimarisha!! Ni wiki hii hii ulinipelekea wito tuonane... haikuwezekana!! Daah, pengine ulitaka kuniaga!

Wasalimie waliotutangulia! Tuna imani wako wengi utaungana nao huko kwenye Makao ya milele waliokuwa baraka na faraja sana kwa Jamii yetu ya Hai wakati wa uhai wao na hata baada!!

Msalimie sana Mchungaji Looka Mushi na Uncle Reginald Mengi! Umewafuata mapema nasi mtuombee kwa Baba mtakayeketi kwenye ufalme wake aruhusu Roho wake mtakatifu atuongoze na kutusimamia ili muda wetu mfupi tuliobakiza hapa duniani ukatupe kibali cha kumpendeza na hatimaye kupata nafasi kwenye mji huo udumuo!

Hakika sikupata muda wa kukulipa kwa mengi mema uliyonitendea as you have gone too soon!!

Tulikupenda hakika! Kwa unyenyekevu tutakulilia na tunaiombea roho yako Amani na Pumziko la milele!

Freeman Aikaeli Mbowe
Mkt Chadema T, KUB & MP Hai
Oooh, touching!
 
Huu ni uzi wa msiba ,tunachojibu ni chuki,hasira na hii ni dalili tosha kuwa Taifa letu limeshaingia kuwa lenye Hasira na visasi.
 
Awe anakwenda na kwenye misiba ya kanda ya ziwa. Huyu DJ nilishawaambia ndio huwa anawatibulia deal ya kuingia ikulu mnanibishia. Shauri zenu bwana
Alishawahi kwenda Busanda kumzika Alphonce Mawazo aliyeuliwa na mashetani kwa kukatwa mapanga.
Busanda iko mkoa wa Kilimanjaro au Arusha?
Tumia akili zako vyema usimuachie mumeo kila kitu!!
 
Back
Top Bottom