Maneno Mazito Toka kwa Tundu Lissu

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,797
71,215

Hakika huyu ni mpakwa mafuta ambaye ni suala la muda tuu litatimia kusudio la MUNGU.
Ninachomuomba Lissu ni kuiga tabia ya hayati Mandela ya kutokuwa na visasi kwani katika hali ya kawaida hapo ukisikiliza kuna watakao kuwa kwenye wakati mgumu na kutegemea huruma na utu wa Lissu pekee kwani matendo yao yalikuwa ya kishetani.
 
Siyo lazima Lissu awe rais , anatimiza wajibu wake kama Mtanzania, ni haki ya Kila Mtanzania kupaza sauti akiona Mambo hayaendi, ila watanzania waoga sana,

Kazi anayofanya ni muhimu kwa vizazi vyote,

Tusikimbilie kwamba kila atimizaye wajibu vema awe rais, hapana,

Pia mtanisamehe sioni kama Lissu anaweza kuwa rais mzuri tunayetaka, japo bado haiwezekani kuwa Rais, ukweli tusiogope kuusema, sisemi hawezi kuwa Rais akaongoza ila mazingira hayaruhusu,

Britannica
 
Hakika hayo ni maneno mazito sana na yenye ukweli kwa 100% yaliyotolewa na shujaa wetu wa kizazi hiki, Tundu Lissu.

Mwenye kusikia na asikie na mwenye kuona na aone. OVA
 
Mm nasema lazima kila mtanzania kuusema ukweli na kuusema uovu pale anapoona upo na kufanya hivyo siyo kutafuta kazi au cheo na tukiweza hivyo basi tutakuwa na taifa imara linaloheshimiwa ndani na nje ya mipaka yetu.kazi ya kuusema ukweli siyo jukumu la viongozi bali ni jukumu la kila mtanzania popote pale alipo
 
Inauma sanaaa kuona mtu mwenye haki ambaye ameyatoa maisha yake kwa ajili ya watanzania ananyanyaswa, anateswa, anaonewa halafu mtu kama sub woofer anatibiwa nje kwa mabilion wakati hana faida na nchi yetu!
Mungu mbarki Lisu, Mungu ibariki Tz, Mungu ibarki Afrika!
 
Kazi ya Lissu inaonekana wazi, na pengo lililopo tangu ashambuliwe hadi leo lipo wazi kabisa...

Ni kwa sababu sisi waafrika hatujielewi lakini mtu kama Lissu mwenye uwezo huo mkubwa wa IQ anaweza kulisogeza taifa mbele...

Akili ndogo inaona easiest path ni kumwondoa Lissu duniani - kujibu hoja zake ni path ngumu sana ina miba, milima, mito na wanyama wakali...
 

Hakika huyu ni mpakwa mafuta ambaye ni suala la muda tuu litatimia kusudio la MUNGU.
Ninachomuomba Lissu ni kuiga tabia ya hayati Mandela ya kutokuwa na visasi kwani katika hali ya kawaida hapo ukisikiliza kuna watakao kuwa kwenye wakati mgumu na kutegemea huruma na utu wa Lissu pekee kwani matendo yao yalikuwa ya kishetani.

Speech za kibabe kutokwa kwa watu wenye akili timamu.
 
Aisee nimeamini wanasiasa ni wapumbavu sana.
Hivi kelele zote za kutuaminisha kwamba alitelekezwa kumbe hazikuwa kweli
1. Amesema mweneyewe kuwa Magufuli alimtuma makamu wa raisi akamjulie hali Kenya
2. Kumbe anatambua kuwa maafisa wa serikali walikuwa wanamtembelea
3. Naibu spika aliwahi kumtembelea
N.k
Pumbavu kabisa
Kweli hakuna mbabe wa njaaa
 
Back
Top Bottom