Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Ha ha ha! Kwa hiyo unamaanisha hawastahili kupewa class? ni kuvuta tu mkono (twende kilioni)
Mkuu hawa wa kizazi hiki ukiwapa class utapata tabu sana, utahangaika kufuata hizo process ila kuna jamaa jingine litavuta mkono tu linaenda kula. Achana kuwapa class hawa viumbe akili zao ni hizo hizo
 
ha ha ha.. kwa hiyo unamaanisha hawastahili kupewa class ? ni kuvuta tu mkono (twende kilioni)
Ukimpa class unaonyesha weakness unatumia mlolongo mrefu kumpata akija kukumwaga unakuwa hoi bin taabani, onyesha nia yako mapema mwache yeye atathmini status yako then mambo mengine yataendelea kama kawaida. Don't be deeply serious, kuna thread kibao humu watu wanalia kusalitiwa na mademu
 
1.Macho yako ni mazuri sana, yananivuta, nashindwa la kufanya, lakini yananifanya nipotelee kwako.

2.Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hio naweza kustahili kwenye penzi letu.

3.Unaonekana mzuri kama malaika, nahisi nikikushika nitakuchafua.

4.Napatwa na woga ndani ya tumbo langu , natetemeka unapoweka mikono yako juu ya uso wangu.

5.Umefanya ndoto zangu ziwe za kweli.

6.Sijawahi kukutana mtu mzuri na mwenye kujali kama wewe.

7 Nakupenda sana, kiasi kwamba siwezi kujielezea hata kama nikijaribu.

8 Wewe ni msichana mzuri ambae kamwe sikuwahi kukutana nae.

Unafanya huzuni zangu kupotea kwa tabasamu lako zuri.
Hapana, wewe sio mnene, uko poa na ndivyo nipendavyo.
11.Ungeweza kupata mwanaume yeyote ulimwenguni na bado umenichagua mimi.

12.Unanipa maana ya maisha yangu.

13.Sitaki kufikiria maisha yangu bila wewe katika hili.

14.Unakuaje mzuri muda wote?

15.Unanifanya nijione mwenye bahati ninapokuwa na wewe.

16.Magoti yangu huishiwa nguvu kila nikugusapo.

17.Wewe ni rafiki yangu wa kweli, najifunza kwako, na ni mtu ambae najua nitakuwa nawe, ni mpenzi wa maisha yangu, niwewe tu nilienae. Ni kila kitu kwangu.

18.Siwezi kuamini kama mtu mwema kama wewe usingeweza kuwa na mimi.

19.Sijui kama unaelewa kiasi gani ninavyokupenda.

20.Natamani niwe na wewe maisha yote, lakini muda hautoshi wa kukupenda vya kutosheleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama ameshakutana nao 30 na wote wametoa hayo maneno si anajua ndio yale yale!hata hamu ya mapenzi inakuwa haipo,ndio maana raha ya haya mambo usiwe umerukaruka,yaani unaona every thing is brand new,na inakuwa na ladha yake flani hivi..
 
1.Macho yako ni mazuri sana, yananivuta, nashindwa la kufanya, lakini yananifanya nipotelee kwako.

2.Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hio naweza kustahili kwenye penzi letu.

3.Unaonekana mzuri kama malaika, nahisi nikikushika nitakuchafua.

4.Napatwa na woga ndani ya tumbo langu , natetemeka unapoweka mikono yako juu ya uso wangu.

5.Umefanya ndoto zangu ziwe za kweli.

6.Sijawahi kukutana mtu mzuri na mwenye kujali kama wewe.

7 Nakupenda sana, kiasi kwamba siwezi kujielezea hata kama nikijaribu.

8 Wewe ni msichana mzuri ambae kamwe sikuwahi kukutana nae.

Unafanya huzuni zangu kupotea kwa tabasamu lako zuri.
Hapana, wewe sio mnene, uko poa na ndivyo nipendavyo.
11.Ungeweza kupata mwanaume yeyote ulimwenguni na bado umenichagua mimi.

12.Unanipa maana ya maisha yangu.

13.Sitaki kufikiria maisha yangu bila wewe katika hili.

14.Unakuaje mzuri muda wote?

15.Unanifanya nijione mwenye bahati ninapokuwa na wewe.

16.Magoti yangu huishiwa nguvu kila nikugusapo.

17.Wewe ni rafiki yangu wa kweli, najifunza kwako, na ni mtu ambae najua nitakuwa nawe, ni mpenzi wa maisha yangu, niwewe tu nilienae. Ni kila kitu kwangu.

18.Siwezi kuamini kama mtu mwema kama wewe usingeweza kuwa na mimi.

19.Sijui kama unaelewa kiasi gani ninavyokupenda.

20.Natamani niwe na wewe maisha yote, lakini muda hautoshi wa kukupenda vya kutosheleza

Sent using Jamii Forums mobile app

Hayo maneno yote bila pesa ni kazi bure...
Tafuta elaaaa
Narudia tafuta elaaaaaa

Oya we tafuta ela.... ukiwa na ela huhitaji kumpa maneno mengi hivo mwanamke...

We tafuta ela
Wanawake wanapenda mwanaume mwanye gari kali nyumba kalii

Kwenye hela ndo watoto wanatulia tuliiiiiiih
hahahahahah
 
Back
Top Bottom