Maneno matamu uliyopewa na mpenzi wako hadi ukakubali kumpa penzi lako

Every time I look into your eyes, I wonder what made them so beautiful! Each time I see your gaze, I feel like crying because I feel those beautiful eyes piercing through me and seeing all the bad stuff I have done with all the bad girls I met before you,kinda makes me regret why I didn't wait. I am so happy to have finally met you but worried if a guy like me deserves a princess like you!
 
hakuna mwanaume aliefaulu kwangu wote wamekuja na saund ya NDOA bila matunzo ambapo nshawazoea nakuiona hyo hali Kwao ni kama wimbo wa Taifa bila VIDEO!!!!!!!!!!.........
sasa ushaonyesha udhaifu wako, mimi ntakulinda na kukutunza mpenzi wangu, hakuna kama wewe dunia hii nimeona wengi sana ila wewe ndie roho yangu
 
Nahamu ya kusema ila kwa maneno yale...atanijua mimi nani kama ikitokea akaamua kuingia kuperuzi humu jf sababu yeye sio zake kuwa humu. So akipita kusoma humu na huu uzi ukawa wa kwanza.. nina enjoy nae kwa raha zangu, wangu mie tunayesogoa lugha tunayoijua sisi ya mapenzi matamu.
 
sijapata kuona mwanamke mzuri kama wewe.. Uzuri wako ni zaidi ya malaika, ukitembea ni kama unapaa... tabasamu lako linanihamisha duniani..
umbo lako mithili ya nyigu aliyebeba mzigo nyuma..
mrembo wangu maashaalah..
nikubalie nikuoneshe mema ya dunia...
teh teh.... nikalainika nikaingia mzima mzima
 
hahahahahahahahaah jf bhana acha kabisa
 
sijapata kuona mwanamke mzuri kama wewe.. Uzuri wako ni zaidi ya malaika, ukitembea ni kama unapaa... tabasamu lako linanihamisha duniani..
umbo lako mithili ya nyigu aliyebeba mzigo nyuma..
mrembo wangu maashaalah..
nikubalie nikuoneshe mema ya dunia...
teh teh.... nikalainika nikaingia mzima mzima
Aliemwaga hizo free style ni yule wa JF??
 
sijapata kuona mwanamke mzuri kama wewe.. Uzuri wako ni zaidi ya malaika, ukitembea ni kama unapaa... tabasamu lako linanihamisha duniani..
umbo lako mithili ya nyigu aliyebeba mzigo nyuma..
mrembo wangu maashaalah..
nikubalie nikuoneshe mema ya dunia...
teh teh.... nikalainika nikaingia mzima mzima
aka hit kisha aka run

hahaha najaribu kuwaza tu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom