Maneno matamu uliyopewa na mpenzi wako hadi ukakubali kumpa penzi lako

1467827247753.jpg
1467827349816.jpg
 
hakuna mwanaume aliefaulu kwangu wote wamekuja na saund ya NDOA bila matunzo ambapo nshawazoea nakuiona hyo hali Kwao ni kama wimbo wa Taifa bila VIDEO!!!!!!!!!!.........


Usigope. Bado wanaume hatujaisha, bado una nafasi yakupata anaefaa kwa ajili ya kukidhi yale unayotamani au tegemea. Nakutakia siku njema.
 
"sina pesa wala kazi mm ni kula kulala tafadhali nikubalie "...baada ya hayo maneno mtoto mwenyewe akalainika "GH nimekupenda kwa kua mkweli" aliniambia hivyo
 
Maneno ya kuwapa hawa watu ni......


I3G1241G434H Imethibitishwa umetumiwa Tsh******** *****Tarehe*****Salio lako jipya la akaunti ya M-Pesa ni Tsh*******


Hapo atakuja kwako chupi mkononi kashaivua
swadakta..
 
nakuita pia baby..na nakutunza kwa vitendo vyote vinavoanzia na herufi k mfano kukulisha..
Kwa hiyo wewe unapendelea unitunze kwa K halafu mimi nikutunze kwa kukumiminia feza?.....Sasa hapa rahaa za dyudyu langu unalopata zinaingia wapi?zinakuwa compensated na kitu gani?
 
Kwa hiyo wewe unapendelea unitunze kwa K halafu mimi nikutunze kwa kukumiminia feza?.....Sasa hapa rahaa za dyudyu langu unalopata zinaingia wapi?zinakuwa compensated na kitu gani?
Kwan na unipapo jaramba lako ww huskii raha pia? Mm bila na hela juu cwez kufika.
 
Back
Top Bottom