Maneno matamu uliyopewa na mpenzi wako hadi ukakubali kumpa penzi lako

hakuna mwanaume aliefaulu kwangu wote wamekuja na saund ya NDOA bila matunzo ambapo nshawazoea nakuiona hyo hali Kwao ni kama wimbo wa Taifa bila VIDEO!!!!!!!!!!.........

Naja kwa ajiri yako
 
If you think I miss you every day you are wrong, I miss you only when I think of you!! Basi kuanzia siku hio Hahahahahaha Hahahhahahaaa ninakula vitu vizuri hahahahaa Hahahhahahaaa Hahahaahhaha
 
She works in customer service near where I work. So she puts on "how can I help you" tee. Never talked to her before.

Me: Hi! Is the help for the customers only, or even us?

Her: It's for everybody.

Me: Good to know. So how do I say "you're hot" in your language?

Her: *confused*

Me: If I needed to tell one that they're hot, how do I say it in your lg?

Her: You're hot.

Me: huh? Anyway, in that case, you're hot.

Her: *blushes*...

To be continued..
 
Aliniambia Mimi ni wa pekee hajawahi kuona mwanamke mzuri kama Mimi akaniahidi atanipenda mpaka mwisho wa maisha yake pia akaniambia alikuwa wapi muda woteee asinione maneno mazuri mazuri tu na SMS kila muda haziishi kila saa ananiambia tuongee angalau asikie sauti yangu yaaani alinipumbaza kwa sifaa nyingi na Mimi nikapumbazika nikakolea mwili na roho vyote nikiwa natamani kila saa nimuone tuongeee yaani....
 
Za leo wana MMU.

Natumaini muwazima kabisa hapa na munaendelea na shughuli za kila siku za maisha yetu hapa duniani.

Leo nimeona nilete hii mada tujuwe maneno mazuri ya kuwaambia wapenzi wetu tuwapo faragha tuzidishe upendo na penzi lidumu daima.

Kama mwanaume embu tuambie sound uliyotoa hadi bibie akakubali kukuachia naniluu yake umfaidi. Ewe mwanamke tuambie maneno uliyoambiwa na sweetheart wako ukakosa la kufanya, ukalowa mtoto ukamua kumpa haki yake love wako.


Mkuu jibu angalia p.p yangu
 
Every time I look into your eyes, I wonder what made them so beautiful! Each time I see your gaze, I feel like crying because I feel those beautiful eyes piercing through me and seeing all the bad stuff I have done with all the bad girls I met before you,kinda makes me regret why I didn't wait. I am so happy to have finally met you but worried if a guy like me deserves a princess like you!
Na hiyo avatar yako aliangalia macho yako ya koboko anakupa hayo maneno hahahahahaaa
 
1467827226635.jpg
 
Back
Top Bottom