Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,888
- 143,985
Naamini wewe ni mkiristo na hivyo nakuomba ukirejee kitabu kitakatifu cha Biblia kuhusu mateso ya Yesu Kristo huku JamiiForums ukiichulia kama Msalaba na wewe binafsi ukiwa umebeba Msalaba huo mithili ya Yesu Kristo na mapito unayopitia kama mijeledi na misumari aliyopigwa Bwana Yesu pale msalabani lakini kamwe usisahau kama jinsi Yesu alivyoshinda mauti. Vivyo hivyo ndio nawe utaja shinda kesi hii na kuwakomboa Wana-JamiiForums kama jinsi Yesu alivyowakomba wanadamu.
Halikadhalika ndugu Max usisahau kuwasamehe wote wanaokutendea haya kama jinsi Yesu alivyowasemehe Wayahudi waliomtesa maana Yesu aliwasamehe kwasababu walikuwa hawajui walitendalo hivyo hata hawa wanaokutendea haya leo hii huenda nao hawajui walitendalo.
Inawezekana wako wanaokukejeli katika mapito haya lakini usisahau hata Yesu alidhihakiwa vile vile.