Maneno laini, kumbatio na kiss napenda mno

Well congrats.

Apparently not even your forefathers managed to decode A Woman.
Really?? Perhaps they were so daft as to let women hoodwink them into thinking along those lines when the truth was quite the opposite. Believe you me there is hardly, if ever, anything enigmatic about women if you are smart.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwenu

Hata tusipoenda kula tunda hayo machache tu naridhika, Ama Kwa hakika naweza nisiwe peke yangu mwenye kupenda vilivyotajwa hapo juu

Naamini tuko wengi muno si Wazee wala Vijana, wakitendewa ama kufanyiwa hayo majambo (achana na pesa kwanza) wanajisikia burdan kabisa.

Ongezea nawewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni kweli kabisa. Anayejua mapenzi atakuelewa vizuri lakini wale wa ngono tu hawatakuelewa. Huwa sielewi mwanaume anayenunua malaya ili afanye ngono. Sielewi kabisa. Hamna kisses, kukumbatiana, maneno matamu laini, kuitana baby, kutaniana, n.k. Yuko kibiashara zaidi anakwambia ufanyike haraka ana mteja mwingine, mbona mimi italala kama ilishasimama! Mimi nataka mapenzi, sex ni matokeo. Hata akinipigia simu kale kasauti katamu laini "baby njaa unaniuma" aisee mwili unasisimka hadi inasimama. Nitakopa kama sina hela nimtumie baby ale kwa nini ateseke na mimi nipo?
 
Imagine uko mahali una fight na huku kuna mchuchu ambaye mnapendana kwa dhati, hio pesa itapatikana tu
 
Yaani ni kweli kabisa. Anayejua mapenzi atakuelewa vizuri lakini wale wa ngono tu hawatakuelewa. Huwa sielewi mwanaume anayenunua malaya ili afanye ngono. Sielewi kabisa. Hamna kisses, kukumbatiana, maneno matamu laini, kuitana baby, kutaniana, n.k. Yuko kibiashara zaidi anakwambia ufanyike haraka ana mteja mwingine, mbona mimi italala kama ilishasimama! Mimi nataka mapenzi, sex ni matokeo. Hata akinipigia simu kale kasauti katamu laini "baby njaa unaniuma" aisee mwili unasisimka hadi inasimama. Nitakopa kama sina hela nimtumie baby ale kwa nini ateseke na mimi nipo?
Sijawahi kununua, ila kibubu kikijaa utatamani pa kupunguzia, naamini ndio maana wengi wananunua. Kibubu kikijaa hata akili haitulii mkuu.
 
Back
Top Bottom