Maneno hayajengi ghorofa......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maneno hayajengi ghorofa.........

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lizzy, Oct 19, 2010.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  .......ila matendo yanaweza.

  Baada ya mbwembwe zote za kampenzi zimebaki siku 12 tu kabla ya uchaguzi!
  Wanajamvi tusiishie kwenye kusema,kushauri, kukosoa na kulalamika tu, tar 31 tukapige kura jamani maana hizo ndo haswaa zitakazoleta mabadiliko!
  Jikomboe kwakuchagua kile unachoona kitakusaidia ndani ya miaka mitano ijayo na sio kuchezea kura yako na kulalamika baadae!!Wakati wa mabadiliko ndio huu!!!


  National Election Countdown
  12 Days to go!

  Uchaguzi mwema!
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Vote for Dr Slaa
   
 3. m

  mwanafyale JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Vote for the Real President JAKAYA MRISHO KIKWETE !
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ni mda wa mabadiliko sasa,chagua SLAA chagua CHADEMA
   
 5. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Halafu safari hii mpaka wazoefu wameshachoka vibaya........watu wanatamani siku zipite kama mshale. Kila mgombea ninayemuulizia habari za uchaguzi ananiambia safari hii kweli kuna ushindani hasa katika uchaguzi.

  Vitambi bye bye.........wanasiasa mlizoea kulala kwenye kampeni sasa hivi mnalala wima........siku 10 kama miaka 10.

  Tukapige kura.
   
Loading...