Maneno haya ya Waziri Mkuu mstaafu,Mhe. Sumaye kuhusu "UKUTA" kwa Mhe.Lema kwa hakika yanaenda kutimia

Anaandika Mhe. Godbless Lema kupitia twitter:

Waziri (M)mstaafu Mh F.Sumaye alinimbia,Lema wala tusiwe na haraka ya operation UKUTA kwani huyu mtu anajenga ukuta wake yeye mwenyewe.Hali ya uchumi kwa sera hizi itakuwa mbaya na njaa itawafundisha watu kuamua.Kwa hali ya sasa ya biashara ni sahii kusema Mh Sumaye aliona mbali View details ·
Godbless E.J. Lema @ godbless_lema
Kumbe ndivyo chadema walipozwa na 'mwanaccm' operation ikafa !!!
 
Back
Top Bottom