Maneno haya ya Lema baada Kafulila kuondoka CHADEMA ni unyanyasi wa kijinsia dhidi ya Jesca Kishoa

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Haikubaliki hata kidogo. Ndiyo Maana mara nyingi nasisitiza haka Kachama ka CHADEMA kamekaa kindugundugu fulani hivi. Wanawake wa Chadema msipokemea hili nitawaogopa. Leo ameambiwa Kishoa, Kesho ataambiwa Esta Matiko, Gekul, na wengine. Ni hatari sana
lema.PNG
 
Inanipa wakati mgumu sana kumuelewa mtu anayejiita mzalendo kurushia maneno vyama vya upinzani ambavyo vinaonesha mapungufu ya serikali na anakiacha chama tawala ambacho ndo kimeunda serikali na ambacho kinashikilia mstakabali wa maisha yake kwa sasa. Cha ajabu huyo mtu hata kwenye payroll ya chama husika hayupo. Kazi kujikombakomba tu.
 
Hawezi kumuelews Lema ila kwa nilivyomuelewa mimi ni kwamba kama kweli kilichomfanya ahame chama ni ufisadi basi amshauri na mkewe aache ubunge na marupurupu yote amfuate mumewe (kitu ambacho hakiwezekani)
He he he wasipopata fursa huko CCM si ndiyo kafulira atapagawa.Hivi nje ya Siasa kafulira ana kazi gani nyingine halali inayomwingizia kipato?
Wapi Moses Machali?
 
Hawezi kumuelews Lema ila kwa nilivyomuelewa mimi ni kwamba kama kweli kilichomfanya ahame chama ni ufisadi basi amshauri na mkewe aache ubunge na marupurupu yote amfuate mumewe (kitu ambacho hakiwezekani)
Kukemea ufisadi kuna uhusiano gani kuacha ubunge? Makarai ya zege mbona mmevurugwa kiasi hiki?
 
Shule aliyonayo Kafulila wewe labda uilapate kwa kuota. Ulishajiuliza nje ya siasa Lema anaweza kufanya nini?
Si mara ya kwanza Kafulila kukihama cdm na this time nafikiri hata miezi sita haikwisha!! Sikushangaa mkulu alipomsifia akiwa kigoma leo ndio tunaona matunda yake. Hii haikijengi CCM zaidi ya kujidanganya kwa kuhonga vyeo. Hapa mnapambana na cdm inayozuiliwa kufanya siasa!!! Je laiti wangefanya siasa ingelikuwaje?!
 
Haikubaliki hata kidogo. Ndiyo Maana mara nyingi nasisitiza haka Kachama ka CHADEMA kamekaa kindugundugu fulani hivi. Wanawake wa Chadema msipokemea hili nitawaogopa. Leo ameambiwa Kishoa, Kesho ataambiwa Esta Matiko, Gekul, na wengine. Ni hatari sana
View attachment 635860
Sioni shida kwenye hii tweet
Alichozungumza lema hapa amejaribu kusema tu kwamba kafulila anaweza mshauri mkewe aamue kama yeye maana si unajua mke na mume ni mwili mmoja
Haitawezekana mama mbunge chadema afu baba awe ccm hiyo haitakuwa ndoa uko mbeleni labda mzee aamue kujiweka mbali na siasa vinginevyo mkewe lazima atamshauri atoke kwa sababu zile zile alizoziona mumewe
 
Ila Lema anaeleweka, itaeleweka unyanyasaji lakini hakuna haja ya kutafuna maneno au kusitasita kwenye mambo ya muhimu, Kafulila then Kishoa amebaki hata sheria yenyewe inatambua superiority ya mwanaume kwa mwanamke!

Bado hapo kuna changamoto sio suala la kuliaacha hivihivi, Chadema must STAND NOW ni muda wa kuwajua wapiganaji wa kweli dhidi ya rushwa (pesa) (sabuni ya roho).

Patrobas hakuwa activist wa kweli Bali mchumia tumbo it was not known before but he has so far proved practically!, "Why"? Mengi aliyopigania akiwa Bavicha na Chadema dhidi ya Srkl zingali bado zipo na kasi imeongezeka lakini nashangaa Katambi kuhama; Mfano;

1. Uhuru wa Mahakama-Kimara ubomoaji
2. Uhuru wa Habari-media, Bunge
3. Unemployment-takwimu zipo wazi
4. Katiba ya Warioba japo aliikana mwenywe
5. Sheria ya Mifuko ya Jamii etc.

Ni vizuri umeondoka kuliko kubaki na kutoa taarifa za ndani ya chama ukiwa na nafasi ya kushiriki vikao MUHIMU.

Finally, " When you know your Enemy you win the Battle."

Ni mara mia hajapandikizwa.
 
Yupo CCM kitambo,ila bado kavu,hajapewa shavu
Makarai ya zege kama kawaida yenu mmeacha kujadili mada mnajadili watu wengine wasiohusika kabisa, inawahusu? Mkanyeni huyo Rasta mwizi wa magari hana mamlaka ya kuwanyanyasa wanawake kijinsia kiasi hicho
 
Haikubaliki hata kidogo. Ndiyo Maana mara nyingi nasisitiza haka Kachama ka CHADEMA kamekaa kindugundugu fulani hivi. Wanawake wa Chadema msipokemea hili nitawaogopa. Leo ameambiwa Kishoa, Kesho ataambiwa Esta Matiko, Gekul, na wengine. Ni hatari sana
View attachment 635860
Wewe mbona huna vyeti na kashiwa kibao za ufusksa msukuma mwenzio kukuachia madaraka makubwa wewe wakunyamaza kabisa unabebwa kwa mbereko ya usukuma
 
Dhambi ya usaliti hula vizazi na vizazi. Dhambi hii wanoitenda kwa kupewa vijisenti itawatafuna na vizazi vyao vyote! We thank God for CHADEMA, lazima chama hiki kilete ukombozi. Ukiona kiza kinazidi, ujue kunaelekea kupambazuka.
 
Inanipa wakati mgumu sana kumuelewa mtu anayejiita mzalendo kurushia maneno vyama vya upinzani ambavyo vinaonesha mapungufu ya serikali na anakiacha chama tawala ambacho ndo kimeunda serikali na ambacho kinashikilia mstakabali wa maisha yake kwa sasa. Cha ajabu huyo mtu hata kwenye payroll ya chama husika hayupo. Kazi kujikombakomba tu.
Inasikitisha kwa kweli. .
 
Back
Top Bottom