nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,858
- 2,348
dah mimi inaonekana kiingereza nimekijua mapema hata maneno ya hivyo nimeyasahauWanaosema hii lugha ilikuja na meli hawakukosea. Kuna maneno ya Kiingereza nilikuwa nayatamka vizivyo kwa kipindi kireeefu. Nimekuja gundua baadaye nikajiona kilaza sana. Haya baadhi ya maneno ambayo nilifahamu baadae matamshi yake sahihi:
1. Tier - nilikuwa nafananisha matamshi na Tyre
2. Sandals
3. Apprentice
4. Agent - nilikuwa nafananisha matamshi na Urgent
Kama kuna maneno na wewe yanakusumbua, njol tutoane ujinga