Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

Wanaosema hii lugha ilikuja na meli hawakukosea. Kuna maneno ya Kiingereza nilikuwa nayatamka vizivyo kwa kipindi kireeefu. Nimekuja gundua baadaye nikajiona kilaza sana. Haya baadhi ya maneno ambayo nilifahamu baadae matamshi yake sahihi:

1. Tier - nilikuwa nafananisha matamshi na Tyre

2. Sandals

3. Apprentice

4. Agent - nilikuwa nafananisha matamshi na Urgent

Kama kuna maneno na wewe yanakusumbua, njol tutoane ujinga
Mimi naomba uniambie yanavyotamkwa hayo umeandika hapo juu.!!
 
Shukrani,
Sababu namba 4 & 5 nilikuwa nayatamka kama neno moja.. Hilo la kwanza pia natamka kama tyre,

No, 3 nadhani umechanganya kidogo umeweka pronunciation ya 'appreciate'..!
Oow,,ni aprentaisi
 
Back
Top Bottom