Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

Paradigm
Wengine watatamka: /paradigm
wengine watatamka: /paradaim

Draught

Wengine watatamka: /draugt
Wengine watatamka: /draft
 
Ni kweli mkuu, but IPA (International Phonetic Association) ndiyo inakubalika kimataifa na haijaathiriwa na mother tongue yoyote. It's like SI unit
I get your point. But ili kutumia hiyo system, lazima ujifunze kwanza. Which means, mtu ambaye hajajifunza ataona mapichapicha tu. See what I'm sayin'? Kwa mtu ambaye interest yake ni kutaka kujua basic knowledge ya matamshi ya maneno fulani, kuyadahibisha ama kuyakaidisha ("customize") katika lugha hasa ya Kiswahili ambacho karibu kila mtu anakubali kuwa ni rahisi zaidi, inasaidia mara mia na zaidi kuliko mfumo husika. Faida ya pili ni kwamba mtumiaji anakuwa anajua lugha yake tayari -- kwa hiyo matamshi ya maneno ya English hutambulika haraka.

Imagine native English ambaye hajui IPA, ila anahitaji kujifunza kutamka maneno ya Kiswahili, mmoja akaanza kumfundisha mfumo wa IPA, mwingine anatumia mfumo huu wa "First Principle." Ni dhahiri huu wa pili unarahisisha zaidi.

Mfano:
1. Kila kitu --- "killer key-two"

2. Kiatu --- "key-a-two"

3. Sisimizi --- "see-see-me-zy"

4. Sakafia --- "sir-car-fee-a"

Japo si kile hasa ninachomaanisha kuhusu kudahibisha katika Kiswahili, angalau tunaweza kupata picha ndogo ya dhana husika.

NB: It is nor meant for scrupulous professionals, but for colorful artists!
 
mimi neno pandora box wakati nakremisha nilishangaa ndio nini?
Kuna mtu aliwahi kusimulia kisa fulani. Umelala zako, let's say ghetoni -- "studio," so tired because of the previous day's pilikapilika. Ni usiku sana. Bila kutegemea, rafiki fulani anabisha hodi. Unajitahidi sana kujikusanya pamoja na mauchovu yako kibao kuelekea mlangoni kumfungulia. Ile kabla hujafika kuwasha switch, bahati mbaya unajigonga mguu kwenye kimeza, kuna vyombo uliacha mezani vinachoropoka moja baada ya kingine hadi sakafuni, vingine vinapasuka, vingine vinagonga chini na vipande vioivyopasuka kuruka juu mara kadhaa huku vikipiga kelele hadi basi, unashtuka zaidi na kuchanganyikiwa kiasi ambacho unateleza pwaaaaaaaa kwenye maji yaliyomwagika sakafuni hadi unaparamia tiivii flat screen kule ukutani, unajigonga tena na kuidungua hadi chini na kinaishia kusambaratika vipandevipande hadi unakata usingizi. Halafu, kama haitoshi ukihisi kichwa kama kimepasuka hivi kwa kigongo na kujipiga ukutani, mguu umeteguliwa na… . (inaendelea)

Simply, you opened a pandora box --- "a process that once begun generates many complicated problems."
 
Hii dhana ya "haraka" na "taratibu" haiwakilishi vyema matamshi husika. Unaweza kuyatamka maneno hayo yote haraka au taratibu bila kuathiri matamshi yake sanifu! "Quiet" inakuwa na mahadhi ya kupanda na kushuka kwa sababu ya silabi 2 (kwa-yet"quite," silabi 1; na "quit," silabi 1.
Huwezi kutamka 'quit' taratibu (kwa kutumia silabi moja) ukaeleweka na wazawa, hasa kwa wamarekani.
 
Wanaosema hii lugha ilikuja na meli hawakukosea. Kuna maneno ya Kiingereza nilikuwa nayatamka vizivyo kwa kipindi kireeefu. Nimekuja gundua baadaye nikajiona kilaza sana. Haya baadhi ya maneno ambayo nilifahamu baadae matamshi yake sahihi:

1. Tier - nilikuwa nafananisha matamshi na Tyre

2. Sandals

3. Apprentice

4. Agent - nilikuwa nafananisha matamshi na Urgent

Kama kuna maneno na wewe yanakusumbua, njol tutoane ujinga
Newesi/ News
 
I get your point. But ili kutumia hiyo system, lazima ujifunze kwanza. Which means, mtu ambaye hajajifunza ataona mapichapicha tu. See what I'm sayin'? Kwa mtu ambaye interest yake ni kutaka kujua basic knowledge ya matamshi ya maneno fulani, kuyadahibisha ama kuyakaidisha ("customize") katika lugha hasa ya Kiswahili ambacho karibu kila mtu anakubali kuwa ni rahisi zaidi, inasaidia mara mia na zaidi kuliko mfumo husika. Faida ya pili ni kwamba mtumiaji anakuwa anajua lugha yake tayari -- kwa hiyo matamshi ya maneno ya English hutambulika haraka.

Imagine native English ambaye hajui IPA, ila anahitaji kujifunza kutamka maneno ya Kiswahili, mmoja akaanza kumfundisha mfumo wa IPA, mwingine anatumia mfumo huu wa "First Principle." Ni dhahiri huu wa pili unarahisisha zaidi.

Mfano:
1. Kila kitu --- "killer key-two"

2. Kiatu --- "key-a-two"

3. Sisimizi --- "see-see-me-zy"

4. Sakafia --- "sir-car-fee-a"

Japo si kile hasa ninachomaanisha kuhusu kudahibisha katika Kiswahili, angalau tunaweza kupata picha ndogo ya dhana husika.

NB: It is nor meant for scrupulous professionals, but for colorful artists!
Una mbinu nzuri sana mkuu, kama wewe ni mwalimu basi wanafunzi wako wana bahati.

Asante sana kwa kutoa elimu
 
Back
Top Bottom