Maneno aghalabu, haiyumkiniki, kuasili na mrahaba

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Naomba maana zake wakuu. Kikwete anapendaga sana kuyatumia hasa anapohutubiaga hotuba zake za miisho ya miezi.
 
Nimeuliza, nikaambiwa hivi:
[h=2]aghalabu: Often
haiyumkiniki: hiyi kwa kweli sijui...
kuasili na: kuyafanya yawe yako (adoption)
mrahaba: royalty[/h]Jareibu kuyaweka kwenye sentensi zake uone kama inakusaidia...
 
Aghalabu(linatokana na Aghlab kwa Kiarabu) linamaanisha "mara nyingi", "kwa kawaida", " normally"

Haiyumkiniki ( linatokana na neno Yumkin kwa Kiarabu)
Yumkini maana yake kuwezekana, kuwa uhalisia kwa hiyo Haiyumkiniki inamaana haiwezekani, haiingii maanani

Mrabaha ina maana ya royalty

Kuasili ni kutohoa kitu kuwa chako, adopt
 
asante mkuu ingawa umezidi kunipa utata kwa kutoa tafsiri kwa kiingereza
 
Aghalabu(linatokana na Aghlab kwa Kiarabu) linamaanisha "mara nyingi", "kwa kawaida", " normally"

Haiyumkiniki ( linatokana na neno Yumkin kwa Kiarabu)
Yumkini maana yake kuwezekana, kuwa uhalisia kwa hiyo Haiyumkiniki inamaana haiwezekani, haiingii maanani

Mrabaha ina maana ya royalty

Kuasili ni kutohoa kitu kuwa chako, adopt

asante mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom