Mandhari ya Ziwa Victoria ukiwa Kijiji cha Kahenge, Muleba

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,786
Mwonekano wa Ziwa Victoria kutokea kijiji cha Kahenge, kata ya Magoma, wilaya ya Muleba, mkoani Kagera.
CyUxkBbXcAQDdlx.jpg
CyUxkBZWIAANm4a.jpg
CyUxkBZXEAAyuee.jpg
 
Inasikitisha sana kuskia ziwa hili kwa hapa Tanzania linatumika kwa 60% tu, alafu linawanufaisha zaidi wamisri kuliko watanzania.

Wamisri wanaishi kwa irrigational agriculture inayotegemea maji ya ziwa Victoria. Wakati huo sisi mvua bado ndio tegemezi kwa suala la kulimo.
 
Back
Top Bottom